Bombardier CSeries project sasa ipo chini ya Airbus na badala ya kuitwa CS300 sasa inaitwa A220-300.
BOMBARDIER | News and Discussions - Page 37 - SkyscraperCity
Kuna demand kubwa sana kutoka Tanzania & East Africa kwenda domestic India for business, leisure, studies na hiyo health tourism. India ni top 5th international tourist arrivals to Tanzania (wanapitia Bole na JOMO etc). Tanzania is second with the most Indian diaspora in East Africa. All this...
Kwa fikra hizo basi tusiende wanapokwenda hayo mashirika ya ndege??? Air India walipata matatizo kuelekea kufilisika waka drop route ya Nairobi na Dar es Salaam 2010 ili kijipanga na sio kwamba 'route' iliwashinda kwa maana ya uwezo wa abiria. Gulf Air walibadilishana route kwa codeshare na Oman...
Siyo Boeing.
1. Ni Airbus Assembly Line
2. Ni Airbus A320 Family
3. Construction Line Number 4356 au 4756 (haionekani vizuri)
4. It is so simple unaweza ukaona distinct feature of typical Airbus A320 windsheild straight across the bottom and a "notched" window.
ATCL Boeing 787-8 Dreamliner...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.