Look how they enjoy at Coco beach!

Look how they enjoy at Coco beach!

Nakumbuka zile hesabu za inversely proportional...yaani one **** is inversely proportional to the other
 
Huenda hata yeye hajipendi ila kaamua ajikubali tu.
 
307993_451549321563577_1732335937_n.jpg

Samahanin hiki nilichoona pichani ni uyoga au aina ya ua?
 
Haya ni matende sasa jamani,!pole zake dada maana naona kama anateseka kwa kweli!!
 
Hii ikisafiri inatakiwa itanguliwe na gari yenye kimuli muli na king'ora.
 
daaah huu kama ni asili na mchina hajahusika hata theluthi basi ni balaa, hata mpiga picha nadhani aliitwa mara kadhaa bila kusikia kama anaitwa kwa kushangaa mabonyeza lol
Mungu ni designer namba moja hakuna mpinzani, na katika uumbaji wake hawezi kuumba urembo wa ajabu kama huu. Huyu amejitakia mwenyewe kwa kutumia product za wenye macho madogo.
 
hatari wakazi wa dar duh maji yenyewe ya shida inabidi kuosha nyuma tu ndoo 3
 
  • Thanks
Reactions: awp
Back
Top Bottom