Recent content by Chumba cha siri

  1. C

    CHADEMA yasambaratishwa: Mjumbe wa NEC Taifa na Uongozi wa wilaya wahamia CCM, ofisi yafungwa

    nmezungumza na katibu pamoja na baadhi ya wajumbe wenyewe wanashangaa kilichotokea wanasema kilichofanyika ccm wameiba orodha ya wanachama na kuitangaza kuwa ndo wamehamia ccm hii inanikumbusha.masha aliposema amepita bila kupingwa ..pia hata vingozi wa ccm wenyewe wamekiri kutokupokea wanachama...
  2. C

    Westgate mall na issue ya ICC

    wanajamvi. Leo hawajaingia bado ndani ya chumba hiki lakini wakiingia ntawafahamisheni nini wamezungumza, ila nimesikia pia kutoka nje kwenye dilisha la nyuma kuwa eti kilichotokea kule kenya ni mpango maalumu wa kuishinikiza kenya kutojitoa katika mahakama ya ICC kama ambavyo walikuwa...
  3. C

    Muswada kurudishwa bungeni

    kikao ambacho kimekalijana kilikuwa kikao cha siri ambacho kilishirikisha baadhi wa wabunge wa ccm kutoka unguja na baadhi ya walio shindwa kwenye uchaguzi wa 2010 kutoka pemba. Na ndio wameishauri kamati maalumu ya kumshauri rais juu ya hili.
  4. C

    Muswada kurudishwa bungeni

    muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.
  5. C

    Katibu mwenezi CCM (Nape) yupo live Radio Wapo

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM bwana Nape Mnauye amewataka wananchi kutokuwashikilia na kuwababaikia mafisadi kama wanavyofanya sasa. Aliyasema hayo bila kubainisha majina ya mafisadi hao huku akisema mafisadi wanafahamika wazi. "Mafisadi wa nchi hii wanafahamika na wako wazi lakini...
  6. C

    Katibu mwenezi CCM (Nape) yupo live Radio Wapo

    Hakika hakuna. Marefu yasio na ncha Ilikuwa siri sasa imefahamika wazi. Katibu mwenezi wa ccm. Bwana Nape Mnauye amewadhihirishia watanzania kuwa Nchi hii inaongozwa na Taasisi na si serikali kama wote. Tulivyokuwa tukidhani Amedhihirisha hayo alipokuwa akihojiwa na Radio wapo katika...
  7. C

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    Nchimbi si waziri wa habari umefwata nini hapa jangwani we na polisi wako si ndo mmesababisha tufikie hapa kwendaaaa
  8. C

    TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

    Kila anayesimama sasa naye anataka umaarufu kupitia chadema hivi hawaoni vyama vingine au kwakuwa hawauzi kama chadema?? Hahahaha itakula kwao endeleeni na fkra zenu mgando watanzania wanaelewa hata wafanye vipi...
  9. C

    RPC Kamuhanda na RPC Shilogile wakalia kuti kavu!

    Tanzaniaaaaa kama nawaona mnavyohangaika kitu kidogo tu cha kutafakari juu ya hili ni kujiuliza nini maana ya mtawala na kiongozi..nini maana ya chama tawala na chama cha siasa..ccm ni wakina nani? Viongozi wako wapi na watawala wako wapi?
  10. C

    Hivi lukuvi unanini?

    Ismani ni jimbo ambalo ililkuwa la kwanza kimkoa kutoa mahindi ndiomaana ikawa na kuzoeleka kuwa mahindi ni na chakula ni kutoka mkoani iringa lakini sasa wapi hakuna kitu na hata wengine wanahoji ilikuwaje akapita bila ya kupingwa wakati watu wamechoka na wanashanga leo isimani kutegemea...
  11. C

    Hivi lukuvi unanini?

    Mala kwa mala nimekuwa nashangazwa na kile kinachofanywa na huyu mtu wa kule iringa maeneo ya isman hivi yuko kwa ajili ya maslahi ya nani pale bungeni maana kila hoja yenye maana kwa watanzania yeye anaipinga na kusema hiyo isijadiliwe sasa kunamaana gani basi ya wabunge kuwepo pale maana...
  12. C

    Nitagombea uraisi mwaka 2015.

    pia ukiona kunamuelekeo kwenye vyama vingine jipenyezetu usihofie
  13. C

    kama na wewe ni kati yao shauri yako

    watazungumza wengi sana juu ya Tanzania na Zanzibar, Tanganyika au serikali tatu na mengineyo mengi ila mi ntabaki kuwa Mtanzania
  14. C

    barua ya polisi kwa Mbunge wa Ubungo Mh.John mnyika

    nimeshangazwa sana na kuiona barua ya jeshi la polisi tanzania kwenda kwa john mnyika iliyoandikwa juzi leo iko kwenye mitandao kama hujaiona hii hapa my tak barua hii imeandikwa na jeshi la polisi,haijamfikia mlengwa lakni tayari iko hapa nani anauza siri za nchi
  15. C

    Kuna mkono wa CCM kwenye kesi ya Slaa? Angalia picha hii!

    kwa wale ambao hawafahamu nilikua dodoma siku chache zilizopita nikahisi kitu..nashukuru kwa kuwa hili sasa limeanza kuonekana wazi..lakini swala la Dr.slaa na Rose kamili na ndoa yao halihusiani na Chadema. hatakama wao wanapanga kukichafua chama hiki inamaanisha kuwa bado kinawapa shida sana...
Back
Top Bottom