Kuna mkono wa CCM kwenye kesi ya Slaa? Angalia picha hii!

Au ni macho yangu manake naona Kama rom inatendeka hadharani.. Embu angalieni midomo Yao.. Aisee.. Sagaz
 
kwa wale ambao hawafahamu nilikua dodoma siku chache zilizopita nikahisi kitu..nashukuru kwa kuwa hili sasa limeanza kuonekana wazi..lakini swala la Dr.slaa na Rose kamili na ndoa yao halihusiani na Chadema.

hatakama wao wanapanga kukichafua chama hiki inamaanisha kuwa bado kinawapa shida sana chama hiki

Chadema hatutazungumzia swala hili.
 
Uzinzi uzinzi uzinzi! laana juu ya laana juu ya laana. Kwa Kanoni, kwa Sharia, Kwa Sheria kote kote ayafanyayo Slaa ni uzinzi tu.

Huyo ndio kuna wachache wanaoona hilo si kosa wanataka awe Rais wa nchi hii? Dah!

zomba bana ushabiki wako huwa naona unakuondolea umakini wako mkuu! Hivi kwenli kuna mtu mzinzi kumzidi no. 1?!!! Hivi hiyo ngoma inayowasumbua top cadles ndani ya serikali na chama imetoka wapi? Siyo kwa ajili ya kupoigiana....

Acha ushbiki mkuu na kuponda wenzio wakati wewe uko kwenye nyumba full vioo!!
 
Sahauni mahakama ya akdhi kamwe haitakuja nchii hii, oteni ndoto za mchana tu!!!
 
zomba bana ushabiki wako huwa naona unakuondolea umakini wako mkuu! Hivi kwenli kuna mtu mzinzi kumzidi no. 1?!!! Hivi hiyo ngoma inayowasumbua top cadles ndani ya serikali na chama imetoka wapi? Siyo kwa ajili ya kupoigiana....

Acha ushbiki mkuu na kuponda wenzio wakati wewe uko kwenye nyumba full vioo!!

Hapa tunaongelea ushahidi kamili sio hisia na porojo za mitaani.
 
With all due respect Kibs!! This is too low to come from you!!!

Infidelity ndani ya tops kwenye chama na serikali unaijua!!!
Kusema ukweli Dr ana sifa zote za kuitwa Fisadi Kiwembe! Halina mjadala hilo!
 
Hapa tunaongelea ushahidi kamili sio hisia na porojo za mitaani.

Nina amini unajua kuwa haya ni mambo binafsi, na yapo kwa watu wengi tu! Yalichochewa kisisasa 2010; wakati jahazi lilikuwa linawaendea kombo CCM. Na kesi imekaa kisiasa zaidi... Sasa kama unataka kuleta hoja njoo na hoja si blah blah!!

Niliotaka ujikosoe ujenge hoja ndani ya kesi, na si mambo ya ushabiki!!! Uzinzi hau-apply kwenye hii kesi, kwani uzinzi (a.k.a infedelity) hau-apply kwa kesi hii maana Dr. Slaa haishi na Rose and at the same time kuwa na mahusiano na Mushumbusi!!!
 
Sina hakika kama unachotaka kujua ni kigezo kilichotumika, lakini kama ni hivyo, iliangaliwa elimu ya mgombea, mchango wake katika kukijenga/kukikuza chama nk. Nijuavyo, huyu mama alikuwa diwani wa CCM hadi 2010. Alipataje ubunge kwa kipindi kifupi alichojiunga na CDM inabaki kitendawili.

kikubwa nachoona ni kukubalika kwake kwa haraka kama kama wabunge wengine wa CDM mfano Shibuda, prof kahigi (mb wa Bukombe) na wengineo CDM imekuwa na utamaduni wa kuwapokea na kuwapa nafasi viongozi wanaotokea chama tawala na kujiunga na CDM
 
Uzinzi uzinzi uzinzi! laana juu ya laana juu ya laana. Kwa Kanoni, kwa Sharia, Kwa Sheria kote kote ayafanyayo Slaa ni uzinzi tu.

Huyo ndio kuna wachache wanaoona hilo si kosa wanataka awe Rais wa nchi hii? Dah!

Vipi Dada Ulimtaka akakutosa nn? mbona umekuwa na shobo sana kuhusu hili swala
 
Back
Top Bottom