Recent content by chumashuma

  1. C

    JamiiForums Tanzania Haya maneno matatu ya kiswahili yananichanganya..Ujasusi..Ukachero..Ushushushu.Mwenye ufafanuzi Tafadhali!

    Ujasusi ni upelelezi haram. Mfano-unakuwa hapa tz lkn kuna mambo maalum unayachunguza hapa kwa niaba ya Kenya. (Upelelezi huo unaweza kuwa wa aina yoyote aidha teknolojia, usalama, uchumi nk- Ukachero/ushushu ni mbwembwe tu lkn maana ya maneno hayo ni upelelezi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaamua kuua watu wake kwa UKIMWI

    Kivipi?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni mambo haya machache tu Magufuli akifanya watanzania wataacha kulalaminika

    Kwaiyo walioajiriwa wakineemeka inatosha? Laa. Tusioajiriwa na magufuli tutafaidika nini?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea ripoti ya Kifo cha Faru John. Ni kweli Faru John alikufa

    Ngoja tuone kama nae atatumbuliwa kwa kuunda tume.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ramoooooos
  6. C

    JamiiForums Tanzania ITV mmewakosea sana watanzania

    Itv kiliaminika sana na sasa wametuangusha sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bia isiyo na sukari ni ipi Tanzania?

    Makonda
Back
Top Bottom