Recent content by Chsrles julius Dinda

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Viomgozi wachache wanatuchanganya kwa maslahi yao au na nyie mpata mafungu?,,Ukweli wa hili linakuja kwani haya yanasemeka hawajayakana wahusika tuweni macho.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    CCM inanuka kama kinyesi ni Sawa lkn Lowassa ni kama manukato? Jiandaeni kazi inaanza Leo ndo hapo mtakapojua watanzania hawadanganyiki kwa kununuliwa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Kwanini yeye tuu na wala hakunamwingine mwenyenia nzuri mie nachelea kusema hajaja vizuri analake jambo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Naanza kuwa na wasiwasi isije ndo kuna mikono ya wale mapapa waliomaliza Tembo maana pesa hizii wengine tunaangaika tuzipateje mwenzenu anajiuliza azifanyie ni ni?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Kiukweli ningejua Sera ya UKAWA ningepiga kampeni ya kufa mtu lkn siijui muda bado upo nisaidieni mwenzenu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Siku zote kweli inauma hasa kwa muongo!!.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Ujasusi unafahamu maana yake kumbe mnakitengo chamajasusi?mbona cku zote mmekataaleo umeropoka mwenyewe? Hata kwavp hawezi kuchukua jimbo la Bunda huyo Ester wako ndo maana alianza mapema kuanzisha ligi ya majezi hatudanganyiki tusubiri unikumbushe baada ya uchaguzi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga ajiunga na ACT Wazalendo

    Unapomshauri mwakibinga tuu ungeanza na Lowasa ningekuunga mkono ndugu yangu tuwe makini na wanaohama kwa sababu wamekosa au kukatwa siyo kuwa wamependa mfano namfagilia Ester na Limbeli walipenda wengine wote wafa maji waroho wa madaraka ndo kweli wenyewe kwanini baada ya kushindwa tuu?kwamba...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wasomi na wachambuzi wa kisiasa juu ya Magufuli BBC

    Muache ubishi jamaa anakubalika lkn mjini kijijini wengi hata hawamfahamu kikubwa tujitahidi kuangalia namna kabla mambo hayajaenda kombo
  10. C

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 300 Monduli wachoma kadi za CCM na kujiunga CHADEMA

    Ila tambieni uchaguzi ni Tanzania cyo Dar pekee na Monduli.
  11. C

    JamiiForums Tanzania CCM Jimbo la Rufiji washindi wawili

    Mnaboa na Ukawa Ukawa woote tunaona pia tuna akili timamu
  12. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Wadau naomba mnisaidie UKAWA ina muungano wa vyama vinne lkn najiuliza mbona wote wanaojiunga nao kwa kipindi hiki wanapitia Chadema tuuu?mnisaidie tuanze mjadala.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Kwani mtikisiko aliouongea mwenyekiti ni halafu nkumbuke hawajajibiwa chochote lolote na upande wa pili halafu mtiwenye matunda ndo hurushiwa mawe tuwe na akili Tukumbuke enzi za NAC ilikuwaje halafu baadae makubaliano yaliishia wapi ninachoamini baada ya ichaguzi UKAWA ikidumu kwa miezi miwili...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Maswali yenye majibu ni kamahayo Radio one ni yanani na Mwenyekiti wa Chama hicho ni nani?na wanatokea wapi? Nionavyo mimi lkn.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

    Hoyaaaa
Back
Top Bottom