mkuu lizaboni wote hao uliowataja hakuna atayeshinda hata mmoja; bulaya ni ndoto kumshinda wasira na lembeli hawezi kumshinda kishimba so wote naona wamekul wa chuya
Tusimsakame sana dogo.
Mbona tunao wabunge wetu wengi hawana degree?
Elimu ya dogo na ya baadhi ya viongozi kadhaa waandamizi wa chama vianendana. Kuwa na degree ni changamoto. Kilichomkosesha ni ukamanda na amekatwa...
dah
Hahahaaaa...mwakibinga bana!
Kila la kheri bana..nakumbuka siku ileeee unaongoza nyimbo za mgomo UDOM (2010)..ila chunga sana, ukikosa ubunge..siasa ndo utapotea hivyo, istoshe hata zile platform za migomo wameshakubana..sjui umaalufu utaupatia wapi tena. Anyways..i like him, ana msimamo! Anafaa kuwa mbunge..akomae!
Na bado CDM hawakuona hiyo sacrifice wakamkata???!!!
Acha ahame kumbe. .
Aliyekua kada wa CHADEMA Philipo Mwakibinga amejiunga na chama cha ACT Wazalendo baada ya kushindwa kwenye kura za maoni huko jimbo la Lupa-Chunya. Sasa Mwakibinga atagombea ubunge jimbo hilo kupitia chama cha ACT.
Kwa maoni yangu Mwakibinga amekosea. Najua ni haki yake kujiunga na chama chochote cha siasa, najua pia ni haki yake kugombea ubunge. Lakini si kwa namna alivyofanya.
Nilitegemea Mwakibinga kama ilivyo kwangu na vijana wengine wa CHADEMA waliotangaza nia lakini hawakupitishwa, angetulia na kukisaidia CHADEMA kuiondoa serikali dhalimu ya CCM madarakani. Lakini ameamua kuondoka ili akatimize azma yake ya ubunge nje ya CHADEMA.
Nilimsoma Mwakibinga kwny group moja akisema "Huu ndio muda sahihi wa yeye kuwatumikia wananchi kama mbunge". Bila shaka alikuwa sahihi kuwaza hivyo. Lakini lazima aelewe kuwa CCM kuondoka madarakani ni muhimu zaidi kuliko yeye kuwa mbunge.
So angetulia ashirikiane na mgombea wa CHADEMA aliyepitishwa jimbo la Lupa ili chama kishinde. Ushindi wa CHADEMA Jimbo la Lupa ungekua ushindi kwa Mwakibinga pia. Chadema hatugawani vyeo tunagawana majukumu. Si lazima wote tuwe viongozi mwaka huu.
Mbona Julius S. Mtatiro alipokosa fursa Segerea hakuonesha kukereka? Hata alipoulizwa alijibu kwa hekima kuwa atamuunga mkono mgombea yeyote atakayepitishwa Segerea. Hii kilikua kiwango cha juu zaidi cha "matured politics".
Ni vizuri vijana tukajiandaa kisaikolojia tunapoamua kugombea nafasi za kisiasa. Tunaweza kuamini sisi ni bora zaidi ya wengine, tuna uwezo zaidi ya wagombea wengine lakini lazima tuheshimu maamuzi ya wananchi. Wakimpitisha mtu mwingine tofauti na sisi tusikasirike. Tumpe ushirikiano ili mradi awe amepitishwa kwa haki.
Pia ni muhimu tuelewe kuwa nafasi za kisiasa si ajira. Tusitegemee kufanya siasa kama sehemu ya ajira yetu. Ni muhimu wagombea wawe na ajira zao au njia zao nyingine za kuwaingizia kipato wakati wanagombea. Ili wasipopata nafasi wasione ndio mwisho wa maisha. Wasije kudhani hamna maisha nje ya siasa.
By the way namtakia kila la heri Mwakibinga huko alikoenda. Namtakia heri ktk mbio zake za ubunge jimbo la Lupa kupitia ACT (japo hatashinda). Pia nimtake ajiandae kisaikolojia kupokea matokeo ya ushindi wa CHADEMA jioni ya tar.25 October.!
ALL THE BEST MWAKIBINGA. Mwanajeshi mmoja akifa vitani, sio mwisho wa mapigano. Vita vinaendelea. Umetuacha vitani, tutapambana hadi dakika ya mwisho kuhakikisha CCM inaondoka madarakani. VIVA CHADEMA, VIVA UKAWA.!
View attachment 278559

Mwakibinga umekosea sana ndugu...nakumbuka sana udom
Kwa hiyo hata akina Said Mkumba, Hamisi Mgeja, Mgana Msindai, Esther Bulaya, James Lembeli, Makongoro Mahanga, Ole Telele na wengineo wamekosea?

Hahaha wewe nduguyangu unajua kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa hivi kinanani wanaongoza kwa kupeana majina! acha utanibwanaMOTOCHINI pokea mgeni wenu huyo kiroho safi.Sisi ukawa mtu akijitoa kwetu na kuja kwenu kiroho safi hatumuiti oil chafu bali tunamuombea heri kwenye safari yake.
Amefanya hivyo baada ya mshindi aliyemuunga mkono kuenguliwa na CC ya CHADEMA na nafasi hiyo kupewa NJELU KASASA ambaye alishindwa kwenye kura za maoni...mwakibinga njaa tuuu....alitoa matamko akijipambanua wazi kumuunga mkono nshindi leo yuleeeeee