Recent content by Christopher kimonge

  1. C

    Lema, umewapa nini wana-Arusha?

    Nashukuru ata wanasheria mmeliona ili. Ukweli ni kuwa chuki .fitna .majungu wanayomjengea mbunge ndio sababu hasa ya maamuzi yetu magumu. Atuishi kwa kutegemea atatufanyia nini. ?Ila tuna oppose khila za mafisadi
  2. C

    Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

    Kama si changamoto za mbunge huyo fisadi angetoa mifuko 100 .hiyo sec ilikuwepo miaka mingi na Pallanjo alikuwepo nini walifanya. Ili wasiwe na aibu. Tumejipanga tunapiga kura upinzani ili mlete izo escrow
  3. C

    Naenda Likizo ndefu na sitokuwepo humu kama mwaka hivi, Je niwaleteeni zawadi gani Membaz?

    Utukumbuke. Japo kwa barua kama si msg Ila chunga wasikubebe mzigo airport noms
  4. C

    Noel Ole Veroya atangaza kuwania ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA

    Lema ndio chaguo letu.tunaitaji mbunge mpiganaji asiyependwa na magamba
  5. C

    YAH: Taarifa za Uzushi/Uongo kuhusu kupotea kwa Helkopta nikiwa Ziara Mkoa wa Tanga (17.01.2015)

    Hizi fedha mnazosaka nazo ikulu mmezipata wapi. ? Ikulu kuna biashara gani ? Mtarejesha vp?
  6. C

    Sakata la Escrow: Muhongo, Rugemalira, Harbinder na Ngeleja kufikishwa mahakamani

    Hapo polisi watakuwa wametekeleza wajibu wao .tulioibiwa tupo w Wezi wapo Taarifa imetolewa mpaka bungeni Swala liende mahakamani . sheria ikatafisiriwe maisha yaende. Siasa mpaka makanisani msikitini itakoma
  7. C

    Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

    Kuwa kimya ni muda wa tafakari. Muda wa ibada. Ndiyo maana cdm atutaki mafisadi .Wala rushwa na watoa rushwa mam vi. Tunamkusanyia ushaidi na nguvu Muda si mrefu.
  8. C

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    Ugonjwa wa kusinzia vikaoni a kisha saini posho ameutibia wapi?
  9. C

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    Alipokuwa waziri ofisi ya makamu waziri mnazi mmoja alizungusha bati pote wananchi wakayadamkia alfajiri wakayaondoa ili kunusuru eneo hilo
  10. C

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    Kinachoniumiza kila mara mafisadi wamekuwa wakituuliza Lema kufanya nini ars? Millya katukosesha ushindi kiasi hiki hawaoji .Kulikoni. ?
  11. C

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    Hili nalo neno. Tutafakari kwa kina . kina chonde us
  12. C

    Kingunge: Wagombea urais CCM hakuna msafi

    Katika upinzani wapo lukuki wasafi mmoja wapo ni mh . Tundulisu
  13. C

    Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

    Huo ni ukweli mtupu sadiki kama utaki jilazimishe upofu .sit kweli wameapishwa Wajumbe waliokosa kura. Si ccm imewageuka watanzania na kuwapora Rasilimali zote na sasa fedha taslimu
Back
Top Bottom