David Thomas M
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 546
- 137
sina maana hiyo.hadi sahizi zaidi ya makada kumi wa ccm wapo kwenye mbio za ubwana mkubwa. ni hao hao walio unda mitandao ya kuchafuana. kimsingi kati ya walio tangaza nia wazi wazi hadi sahz hakuna alie msafi hata amnyoshee kidole mwenzake thus why naaamini NEC na CC watajuwa ni nani atafaa kukabidhiwa bendera ya kijani na si wao kuanza kuvuana nguo