Hello JF,
Kielimu na nchi nyingine lets say western countries tunachotofautiana;
Ni culture ya kujisomea vitabu,
Tangia umri mdogo watoto wao wanaongozwa kusoma vitabu na kwenda library.
Watoto wanaimarishwa kuwa na 'intrest' ya kujisomea vitabu,
Si kweli wazungu wote wamefika elimu ya...
cheki unavyobwatuka kama mama mwenye nyumba aliekosa kodi yake,eti sina shukrani,kivipi? kwa kusema baadhi yenu ni wabovu??? mxiewwwwwwwwwww hatutaki kulea uozo kwa maslahi yenu binafsi,watoto wetu watatulaumu hatukuwajali kwa kuwaachia nyie walimu vilaza,you are right,hao walimu vilaza...
yaani walimu kwenye hii topic mnaonyesha mlivyo majipu,inabidi mtumbuliwe,sijaona mwalimu hata mmoja akitoa coment bila kumu attack mtoa mada..............AIBU SANA HII
hivi walimu wa JF kwa nini mnakuwaga wakali???yaani mnaonyesha mna mastress,mtu asiwaguse kidogo balaaa...kwani uongo some of you are incompetent???mwacheni dada yetu apumue,Mama ndalichako umepewa suggestion ni wewe kufuata ili kuwaokoa watoto wetu ambao ni next generation.usiharibu future zaoo...
habari wapendwa,
nimeona mahali gari imenakshiwa kwa mapambo,
nikaipenda,kuulizia kwa watu nimeambiwa ndio inaitwa vinly print
sasa wakubwa embu nielezeni kwa watu mlioifanya hii business inalipa???
niwe na nini na nini???
kama shilingi ngapi nianze kama mtaji???
Hello wapendwa,
nilikua nauliza maswali gani unatakiwa ujiulize binafsi kabla ya kuanzisha biashara....??
naenda kumuona business advisor,ila ningependa baada ya kupata ushauri wake nimuulize maswali ya aina gani,so that I get well informed and go ahead with a business or not...?
kweli wewe una kichwa kigumu,
eti Diaspora kuinvest bongo??,haiwezekani?hutaki au???
Mazingira ndio mabaya,and yes sio kwa Diaspora tu wanashindwa kuinvest, hata wageni wengine,
usidhanie ni sifa kwa nchi,
hao wawekezaji wangefikia maelfu kama mazingira yangekua mazuri,
kalagabaho!
hapa umekuja kuconfront wanadiaspora,hata ukiambiwa blue utataka ubishe ni nyeusi,utakua mtu wa gubu sana wewe,kwa hio mnapigia Magu kelele za nini kuhusu maendeleo??si mkae majumbani mzaliane,hivyo vitu ni basics wewe unaona kama luxury vile hahahaaaaaaaaaaaaaa,mkiweka mazingira mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.