Hawezi kufikia huko na Kama atafika huko ni bora elimu ya watotowetu tughakamie wenyewe kwani huko ni kumnyanyasa mtoto na kumfanya asiwe huru masomoni
Duuu afike na vijiwe vingine Kama kilosa hapa jirani na Radio Jamii Kilosa kwa Mzee mkondoa atapata mengi Sana juu ya Wilaya ya Kilodmsa nkoani morogoro
Kila neno au jina la mtu au mahali huwa natafsili tofaiti tofauti kulingana na akili ya mtu inavyo mfikirisha,kwaiyo wenye mitazamo tofauti hawawwzi kukubali kuwa katerero jina la Tarafa
Raisi wa watu pamoja na kusaidia kitatua tatizi hilo bado kunawatu wanafanya kazi serikakini bila mikataba na wakurugenzi hawataki kutoa mikataba na kulipa pesa Kama mshara hawakipi kwa wakati wanakipa wanavyo taka,unakuta wafanyakazi wanadai muezzin 4-6 then wakitaka wanakipa mwezi mmoja,.Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.