Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,582
- 14,348
Zamani tulikuwa sawa kimaendeleo na mabara mengine kama Europe n.k karne ya 15 hivi. Baada ya miaka kadhaa Europe , Marekani , Japan n.k Zikatuacha ,, hii hasa hasa ni 1750-1850.... Kabla ya vita kuu ya dunia.
Currently nchi karibu zote zisizo za kiafrika zimetuacha mbali sana kimaendeleo ,,,. Tanzania ,Brazil na India ziliwahi kuwa sawa kiuchumi miaka Fulani hivi tena si zamani sana ni kama 1950.... hivi.
Unadhani sababu kubwa ya sisi kuendelea kuwa maskini na wao kuwa matajiri ni nini?
NISOME KIDOGO..
Enzi hizo wao walikuwa masikini kiuchumi nasi tulikuwa masikini kiuchumi vile vile lakini sisi tulikuwa pia MASIKINI KIFIKRA,, huu ndio umaskini mbaya kuliko umasikini mwingine wowote ule. Unafikiri wazungu waliweza kututawala Kwa sababu ya umasikini wetu kiuchumi? La hasha ! , unafikiri wazungu wameweza kutufanya soko la silaha zao hivi hivi tu ? Ni umasikini wetu kifikra ndio sababu kuu. Just Imagine.
1. Utainyoosha vipi nchi bila kuwa na katiba bora? Huu si ndio umaskini wa kifikra wenyewe? Katika taifa kubwa kama Marekani huwez kutenganisha mafanikio yao na uimara wa katiba yao.
2. Katika kuifanya Taifa kuwa la Viwanda tunawategemea China ,, lakini ukumbuke kuwa viwanda vya China soko lake kubwa ni Afrika. Unaelewa nini hapo kama si umaskini wa fikra?.. Viwanda vya China na India Vilijengwa na Nani?.
3. Sehem ambayo uchaguzi ulivurugika,, ukafutwa,, manung'uniko yametawala na watu hawasalimiani utasemaje hali ni shwari.
USHAURI
Kama kweli tuna dhamira ya dhati ya kujikwamua kiuchumi kama taifa basi tuanze na vita ya kujikwamua kifikra Kwa kuwekeza kufa na kupona katika Elimu. Huwez kuushinda umasikini Kwa fikra za kimasikni kama tunazozishuhudia.