Recent content by Christ

  1. C

    Issue ya Lissu yaifikia Shirika la Kijasusi la kimataifa CIA

    Yes! Especially the national ECONOMIC SECURITY
  2. C

    Chama Cha Mapinduzi ni nambari One kwenye usajili

    CCM ni chama kama vyama vingine vya siasa Tanzania Kilisajiliwa 1992 na kupewa cheti cha usajili no. 001 na alikipokea aliyekua katibu mkuu wake Horace Kolimba. Kabla ya kuandika fanya kautafiti kidogo au japo ulizia wanaojua.
  3. C

    PICHA: Jommo Kenyata, Daniel Arap Moi na Uhuru Kenyata

    L-R:JOMO KENYATTA, UHURU KENYATTA(SEATED)MWAI KIBAKI,DANIEL MOI(STANDING)
  4. C

    Nashukuru mawazo kuhusu mtu mweusi yanapata nguvu

    Hitler,Mussolini na wengine wa ww2 nao walikuwa weusi?Unyanyasaji wa wapinzani kiitikadi ni nature ya mtu binafsi na sio uweusi au uweupe
  5. C

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Meya wa Ubungo katika malalamiko aliyopeleka tume ya maadili ni pamoja na hilo la cheti fake.Labda tusuiri upande huo utawaeleza kitu Watanzania wajue ukweli ili uwaweke huru
  6. C

    Kwanini sherehe nyingi za Kitaifa hapa Tanzania hazifanyiki katika mkoa wa Kilimanjaro (Moshi)?

    Tycoon: Nadhani hata sherehe za uhuru+jamhuri hazijawahifanyika Moshi.Jiulizeni Je ni tatizo la watawala , mfumo au WaMoshi wenyewe?
  7. C

    Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

    1995 mkapa,lipumba,cheyo na mrema walifanya mdahalo live.kila mmoja alijibu maswali yaliyoelekezwa kwake na majibu yalitegemea ilani ya chama husika. Tangu hapo hakuna aliewahi kuthubutu kuingia kwenye live mdahalo. Ni sheedah. Kuna dalili wagombea walofuata hawakua committed kwenye nafasi...
  8. C

    Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chaahirishwa

    Watu wazima mnazungumzia afya ya mtu msiyemjua.Nani dactari wake kati yenu mnaosema "afya mgogoro''? Nani kati yetu sote tuna uhakika wa afya zetu??May be some will live forever.Kwani hakuna watu wanaohisiwa kwamba ni wazima kumbe wanapumulia machine?Kumbe hakuna viongozi waliopo madarakani...
  9. C

    Ujio wa Rais Nyusi Bungeni, Mkuu wa Itifaki ana matatizo

    Mimi binafsi naona Itifaki imevurugwa toka mwanzo mwa tukio na wala sio kwenye picha tu. Raisi wa jmt alikuwa na ulazima gani kuongozana na mgeni rasmi kwenda bungeni? Hapo panakuwa na muingiliano wa NANI MGENI RASMI BUNGENI.Kwenye mabunge ya jumuiya ya madola itifaki za kibunge haziruhusu Raisi...
  10. C

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Tatizo kubwa Chadema hakuna thinkers wala wakomavu wa siasa.Zana Za Kilimo ni thinker,mwanasiasa,mwanauchumisheria,na ni mzalendo.Hata kama ana madhaifu yake kama binadamu (yeyote)lakini ana manufaa ndani ya chama kuliko wana cdm wanavyomwona.Ni mjenzi na mtetezi wa hoja zenye mashiko ndani na...
  11. C

    Endapo atakuwa Mwenyekiti Taifa: Zitto atamudu changamoto alizokutana nazo Mbowe?

    Duchi:Ulimwenguni kote hasusani nchi zinazoendelea na zile zinazoanza kupractice democrasia yenye upinzani,kupigwa,kuwekwa ndani na hata kuongoza maandamano ni jambo lisiloepukika kwa wapinzani. Hivyo Zitto akibeba dhamana ni pamoja na dhamana ya kupigwa,kuteseka kwa ajili ya chama wanachama na...
  12. C

    MTAFARUKU EAC: Kikao cha Bunge la Afrika Mashariki chavunjika

    Huyu Kagame anatusaidia nini?Katutukania Raisi wetu,katupondaponda kama vile tuko kwake,anaendeleza Utusi aloutumia kuwashughulikia Wanyarwanda 1994.Kawaua,kawasagasaga na sasa anabip TZ. Raisi wetu mpendwa amka tupe amri ya kumtoa huyu nyoka huku chini ya godoro.Uvunguni hayupo tena.Kajificha...
  13. C

    Nani amrithi kikwete 2015?

    Salim Ahmed Salim, yule Mpemba wa Mkoani asiye na makundi,nongwa wala visasi. Mwepesi kusamehe na kusahau,msikivu na mchapa kazi. Alikua last PM (of the URT)wa Mwalimu Julius Nyerere, Akawa waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa(+naibu waziri mkuu wa JMT) chini ya Ali H.Mwinyi, Baada ya hapo...
  14. C

    Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!

    Huyo ndiye IDDI AMIN DADDAHS' speeches.Not fake ni za kweli kabisa.Zipo kwenye kumbukumbu za watu makini. Wale wanaosoma vitabu vya historia na kufuatilia matukio yaliyopita.Si za kutunga wala kumkejeli Iddi Amin.Kwa Mtanzania makini ni lazima ajiulize huyu Iddi Amin alikua nini,nani na kadhalika.
  15. C

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    TUENDELEE KUNGOJA MWISHOWAKE?? Hapana!! Tuamke na kuwaambia sisi ni wenzao,weusi wenzao,ndugu zao katika jamii,wapenda maendeleo,na kwamba tunawapenda.Waache kutuuwa maana biblia inasema mharibifu na mwuuaji ni ibilisi.Waache ufuasi wa shetani wamrudie na kumcha Mungu wao wa kweli. Wasipoelewa...
Back
Top Bottom