pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,486
- 6,172
Fredrik Sumaye na Mark Mwandosya
Mtaje kiongozi m1 wa CCM anayekemea rushwa
Mtaje kiongozi m1 wa CCM anayekemea rushwa
Lowassa ambae hawezi kemea rushwa hata dakika moja ana mkaba koo nani?
View attachment 253655
Hawa Mama zangu wamezeeka sana,Sasa wangepumzika kwa kweli!!
Tunawapenda,lakini hii mikikimikiki wangepumzika tu!!
Maccm yanatukanana yenyewe.... Mlishindwa kumvua gamba mtaweza kumzuia asigombee?
Ni kitu gani ccm ilishawahi kuweza au hata kujaribu kukifanya juu ya wanachama wake mafisadi.
Dodoma kuna hali ganiii?
Anawakaba koo wewe na wenzako wa upande huo,bahati mbaya saana wewe na mimi hatuko ndani ya hiyo mikutano tungeyaona LIVE...hakuna mwenye ujanja mbele ya huyo Bwana.Ukawa wanamjuwa, na wanapenda asipitishwe kwani ni yeye tu anayeweza tikisa ngome ya ukawa.
Wanakazania Lowasa apitishwe ni cdm na ukawa, wanataka apite ili kazi yao majukwaani iwe rahisi kusema ufisadi na kashifa zake
Wana hofu gani hao magamba au yule mbunge wa monduli anawachanganya huu mwaka wa ccm kuanguka wameenda kujimaliza huko dodoma
tatizo ni fisadi, afu afya mgogoro.. hii imewatia shaka hao wachaguaji wakihofu yaliyotokea ZAMBIA
View attachment 253655
Hawa Mama zangu wamezeeka sana,Sasa wangepumzika kwa kweli!!
Tunawapenda,lakini hii mikikimikiki wangepumzika tu!!
Yaani hawa magamba walibugi step sana,wamefuga jini kwenye chupa sasa limetoka wanashindwa kulidhibiti. Huyu jamaa ilitakiwa wakati ule ule wa Mkama wavuane magamba mapema wangepata muda mrefu wa kuponya majeraha but kwa sasa its too late.
Wanakazania Lowasa apitishwe ni cdm na ukawa, wanataka apite ili kazi yao majukwaani iwe rahisi kusema ufisadi na kashifa zake