Chama Cha Mapinduzi ni nambari One kwenye usajili

Chama Cha Mapinduzi ni nambari One kwenye usajili

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
CCM pamoja na kwamba hakijawahi kuomba usajili, ndio chama nambari moja kwenye daftari la msajili wa vyama vya siasa. Kwahiyo wale wote wanaohama vyama vyao na wale wanaojipendekeza kimtindo kama CUF Lipumba wanachagua fungu jema maana wahenga walisema awali ni awali hakuna awali mbovu! Ahsante.
 
CCM ni chama kama vyama vingine vya siasa Tanzania

Kilisajiliwa 1992 na kupewa cheti cha usajili no. 001 na alikipokea aliyekua katibu mkuu wake Horace Kolimba.

Kabla ya kuandika fanya kautafiti kidogo au japo ulizia wanaojua.
 
Tanzania ni nchi yetu lakini wabunge wetu wanamaajabu ambapo wanapitisha hoja leo kwa kishindo na akijitokeza mkuu mmoja na akasema hoja hiyo haina manufaa kwa taifa wabunge hao wanasema nikweli na wanamuunga mkono anayepingana na hoja zao
Rejea mikataba ya madini
 
Back
Top Bottom