Recent content by chrissmeck

  1. C

    JamiiForums Tanzania Makarani wa sensa hawatalipwa malipo yaliyobaki kama hawatafikisha kaya 100 kila mmoja

    Na aliyefikisha kaya hizo mia ku relax kabisa na pengine kuacha kabisa kuhesabu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Mna page yoyote ya social media?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Mkuu Biblia inasema asiyetaka kufanya kazi na asile. Sio asiyefanya kazi. Kumaanisha kama kuna kazi na ukakataa kufanya hiyo ndo shida.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hamjaacha kukufuru bado
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Sema hii hesabu haiko vizuri. %wise ilitakiwa kura zote ziwe 100%
  6. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    *Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%) *Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%) *Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%) Kura 28. Then hizi asimilia mbona haziadd up?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Amuua mkewe na kumchoma moto ndani ya nyumba baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka 2

    Mtoto wa mwaka mmoja then kanyimwa unyumba miaka miwili? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania BoT yatangaza Noti mpya

    Mambo ya uchaguzi haya Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufungaji wa mziki kwenye gari... Nani mkali wao?

    Kwa Tanzania nzima Eastside sound wa Arusha anawafunika wote
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ana shahada na CPA mwaka wa 4 huu hana ajira

    Mshauri a-apply audit firms ziko kibao zinahitaji watu wa hizo qualifications. Asisubiri matangazo ya ajira
  11. C

    JamiiForums Tanzania Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Ukikutwa na 1 kg and above that is another issue.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hili kosa kama atalifanya CAG wiki hii basi atakuwa amepatikana na atasimamishwa kihalali

    Well said. Watu wanafikiri ni CAG anaenda physically. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nimekata shauri, naandika wosia

    Mkuu huku kuna ambao wameshadhulumu mali za wajane. Usidhani watasapoti hii kitu. Ingekuwa tunatafuta mali kwa ajili yetu sisi tu tusingejenga maghorofa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom