Nimekata shauri, naandika wosia

Nimekata shauri, naandika wosia

Hongera mkuu. Wosia sio uchuro.
In fact ni part and parcel of long time planning.

Kumbuka kuandika kitaalam mkuu, ndugu wasije wakaupinga mahakamani kuwa ni wosia defective.
Unapingwa kweli maana kuna mingine inaandikwa kimagumashi sana!
 
Ndio hapa tamaa zinapodhihirika. Wale tusioamini kama mafanikio kupitia urithi siwezi pata shida hata kama sijatajwa kabisa. Urithi usaidie watoto/vijana na mjane sio jitu zima na familia yake anasubiri urithi.
 
Hakika mkuu hujaeleweka. Fafanua zaidi.
Huyu jogi ameongea kwa mtizamo wa kina sana.
Kwa kifupi amesema afae hana tena cha kusaidia walio hai. Hata ukiandika wosia, msaada wake(huo wosia) ni wa muda mfupi sana.
Hata furaha ya mali uliyoacha kwa uliowaachia ni ya muda mfupi.
Kwa ufupi maisha hutafuta njia yake yenyewe mpya punde tu unapokufa.
 
Ukifa ndio rangi za nduguzo huonekana

Hakuna atakayejali wanao. Kama mkeo aisee.....

Heri umeona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha incidence moja ambayo kijana mmoja aliyekuwa akiishi na mwanamke na wakapata mtoto mmoja mdogo.
Kijana alifanikiwa kimaisha, akapata mali kadhaa akamnunulia mkewe gari, na akiwa na magari mengine ya biashara.

Alifariki ghafla, nadhani ilikuwa stroke...baada ya hapo ndugu wa upande wa mume hawakujali kuwa ndugu yao ameacha mtoto mdogo. Walichukua gari alilonunuliwa mke, wakauza lori gari la biashara...na bado wakaenda mahakamani kupinga yule mama asiteuliwa kama msimamizi wa mirathi.

Hapo ndipo niliona rangi halisi za watu. Nikajiuliza sana.. Hao ndugu za marehemu why hawamjali walau mtoto aliyeachwa na marehemu? Wanataka kuchukua everything.
 
Dah ni mkasa wakusikitisha sana.
Kwa kisa hicho, mrithi halali wa mali zile ni yule mtoto, mjane na wazazi wa marehemu kama wapo. Lakini hao ndugu zake hawakustahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyaraka tu haitoshi,weka na ushahidi wa audio-visual,wasije kudai document zimefojiwa
 
Hakika mkuu hujaeleweka. Fafanua zaidi.
Muombe mwenyezi
Hapana,sio!unajua sisi tuliosoma risks management muda wote tunafikiria how you can minimize risks. Ni kuchukua tahadhari na kuwaondolea watu usumbufu usio na sababu.

Wosia maridadi unazingatia kila anayestahili bila kujali mahusiano yenu kuwa mazuri au lah,unazingatia hali na kila mfaidikaji. Kama mke statumia vibaya mali ni juu yake,kwa maana hata mke malaya na mpenda starehe anayo haki ya kupata chake kama alivyo na haki ya kugawana mkiachana.

Binadamu haaminiki,tunajidahidi kuishi vizuri lakini tumeshuhudia watu wakigeukana hasa waliokuwa wamemuheshimu kuwa amefariki.
Je hujawahi kushuhudia mayatima wakitunzwa na ndugu wa marehemu?
Je huoni kuwa wale watoto wa familia inayotunza hao/huyo yatima inakuwa katika nafasi ya mali zao kutumiwa na wasiohusika moja kwa moja na familia? (wanakuwa wanyonyaji)
 
Umenikumbusha incidence moja ambayo kijana mmoja aliyekuwa akiishi na mwanamke na wakapata mtoto mmoja mdogo.
Kijana alifanikiwa kimaisha, akapata mali kadhaa akamnunulia mkewe gari, na akiwa na magari mengine ya biashara.

Alifariki ghafla, nadhani ilikuwa stroke...baada ya hapo ndugu wa upande wa mume hawakujali kuwa ndugu yao ameacha mtoto mdogo. Walichukua gari alilonunuliwa mke, wakauza lori gari la biashara...na bado wakaenda mahakamani kupinga yule mama asiteuliwa kama msimamizi wa mirathi.

Hapo ndipo niliona rangi halisi za watu. Nikajiuliza sana.. Hao ndugu za marehemu why hawamjali walau mtoto aliyeachwa na marehemu? Wanataka kuchukua everything.
Unaishije na mwanamke? Fuata utaratibu ambao Jamii imejiwekea, mikosi mingine tunajitakiaga na kusababisha watu hasa ndugu waonekane wabaya!!

Ndoa huthibitisha uhalali wa mtoto kwenye familia/ukoo, vinginevyo hiyo familia isilaumiwe saaana kwa hiyari ya mioyo yao.
N.B Musa alilelewa vema tu katika hali ya kuokotwa.
 
Ndio hapa tamaa zinapodhihirika. Wale tusioamini kama mafanikio kupitia urithi siwezi pata shida hata kama sijatajwa kabisa. Urithi usaidie watoto/vijana na mjane sio jitu zima na familia yake anasubiri urithi.
Mjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?
Sisi tunaoamini katika uzima wa milele hatutishwi tishwi na mauti maana tujapokufa tutaishi na kama hivyo vijimali si kitu, hakika twauendea mji ambao mali zake haziliwi na kutu wa nondo TAMANI FAMILIA YAKO WAWE SEHEMU YA MALI HIZO.
 
Mkuu huku kuna ambao wameshadhulumu mali za wajane. Usidhani watasapoti hii kitu. Ingekuwa tunatafuta mali kwa ajili yetu sisi tu tusingejenga maghorofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?
Sisi tunaoamini katika uzima wa milele hatutishwi tishwi na mauti maana tujapokufa tutaishi na kama hivyo vijimali si kitu, hakika twauendea mji ambao mali zake haziliwi na kutu wa nondo TAMANI FAMILIA YAKO WAWE SEHEMU YA MALI HIZO.
Haaaaa haaaaa eti mbunye unamuachia. Kwani mkuu wewe mali unatafuta peke yako? Lakini sheria imemtambua vizuri tu
 
Sheria haijawahi kutatua matatizo ya dunia hii!!!

Ni makosa makubwa sana kuiishi dhana ya kuishi ili ule!

Wajanja wote tunakula ili tuishi.
 
Lakini huwezi kuipuuza kwa sababu imekuja kuweka usawa na namna bora ya kuishi ikisaidiana na Vitabu vya dini. Lakini suala la ushiriki wake kwenye kutafuta mali hujalijibu mkuu
 
Vitabu vya dini vinaelekeza kuwa Mungu aliimilikisha hii dunia kwa mtu MUME!
Unachuma mali ili mwanamke ale kwa kujinafasi. Ndio maana ujane haujafungamanishwa na furaha! (usidhani wanamaanisha furaha ya dyudyu)
 
Unaishije na mwanamke? Fuata utaratibu ambao Jamii imejiwekea, mikosi mingine tunajitakiaga na kusababisha watu hasa ndugu waonekane wabaya!!

Ndoa huthibitisha uhalali wa mtoto kwenye familia/ukoo, vinginevyo hiyo familia isilaumiwe saaana kwa hiyari ya mioyo yao.
N.B Musa alilelewa vema tu katika hali ya kuokotwa.
Mke a deo filikunjombe kaporwa Mali na shemeji zake huku ana watoto w3, sembuse walalahoi sisi. Wosia ni muhimu sana katika maisha haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom