Recent content by Chris Stevenson

  1. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    👏👏👏 Na kutokujua sharia siyo sababu ya msingi kukufanya usitiwe hatiani. No One Above the Law
  2. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Great people speaks great points. Thanks! Kept in mind
  3. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele na Litombo Bangala walichomfanyia Inonga ni kumkosea Heshima na kukiuka haki za Binadamu, TFF iingilie kukomesha hii tabia

    🤓 ni msimu mwingine wa maandamano kwa tff dhidi ya Yanga. Hilo nalo halitoshi, kamshitaki hata staili yake ya ushangiliaji kama nayo haisoshi kaseme na magoli yaliyofungwa ni kuiaibisha klabu ya Simba na wachezaji wake.
  4. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Very open, na ukikosa password kwenye simu yako ni kinyune na sheria ya nchi kuhusu mitandao.
  5. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Hii ndiyo Tanzania, ndoto ya watanzania wengi, simba wa kabila la yuda hayupo tena aliyesababisha nidhamu ya uoga serkalini na kufanya maamuzi mabaya yaliyobeba idadi kubwa ya Watanzania. Hii ndiyo serikali yenye nidhamu ya utii, inayofanya maamuzi kwaajili ya masilahi ya nchi. Je? Yataibeba...
  6. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Lengai Ole Sabaya yaahirishwa hadi Juni 10, 2022

    Kumbukeni Sabaya alikuwa nani kabla ya kuwa mkuu wa wilaya, Baada ya hapo utapata jibu la kinachoenda kutokea kwenye hukumu ya leo. Kilichotafutwa tayari kilishapatikana, hivyo basi si ajabu sana Sabaya akiachiwa huru.
  7. Chris Stevenson

    JamiiForums Tanzania Tubadilishe namna zetu za kufanya teuzi kwa viongozi Serikalini

    👏👏👏
Back
Top Bottom