Recent content by chriper

  1. C

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuhama Wizara moja kwenda Nyingine

    Jaman naombeni ufafanuzi hapa nahitaji kuhama wizara moja kwenda nyingine yani niamishe check no kutoka wizara moja kwenda wizara nyingine nafanyaje
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

    Kaka mtu kumuelewa hapa n ngumu ndo maana mm nawaitaga site waje
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wireless access point nzuri

    Asante kwa ushauli. Ila naswali mm natumia vifaa vya tp link na na vicontrol kwa kutumia amoda cloud control kwa kutengeneza vocha za kukonect wifi ili kuzuia watu wasiingie kwenye mfumo bila ya kuaceas kwa vocha sasa ni repeater ipi itakayo weza kukubali kuendelea ku conect kwa code/vocha...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Pole mkuu kwa changamoto unayopitia. Tafuta mafuta ya mnyonyo uwe una chua kila siku walau mara mbili au zaidi eneo la uvimbe na maeneo ya mgongo sehemu unapo uma. Utakaa sawa. Amini
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wireless access point nzuri

    Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini. Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point. Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa nisaidieni ni wireless access point ipi nzuri ambayo ni kiifunga kwenye point inaweza kusukuma mawimbi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Watu wapo moto sana. Nyegere BOY (ww ni habar nord?) Inshort hii buznes ni nzur ila kuku lipa ina tegemeana na; 1.mahari huduma ulipoiweka. 2.mapokeo ya unaowapa hiyo huduma. 3.provider wanao kupa hyo internet 4. Kama huduma hii umeiweka kwenye taasisi aina ya makubaliano au mikataba mlio peana...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Internet Business

    Safi hii
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Habari Mm juzi nmetoka dodoma na boxer 150 bmx had nwanza Safari ilikuwa hivi nilienda harakat kama kawaida ilivo fika jion nikafanya maandalizi ya servce plus kumwaga oil. Chuma nikajaza full tank nkatulia getto mida ya saa nne na nusu nka jikoki poa plus kuvaa gadi za miguuni kwenye magoti...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Cc660 inaenda popote mnyama service
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Usafir wwte kuanzia cc100 unaenda vzur tu kwa kuzibgatia service na umwagaj wa oil na uwe unaenda kwa mwendo wa kawaida kama upo kwenye kaziara ka kuangalia mazingira
Back
Top Bottom