Recent content by chox1285

  1. C

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha STARTIMES

    Wataalamu natumai muwazima wa afya. Naomba kufahamu kama ving'amuzi vya star times vinasehemu ya VGA??? Asanteni
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotolesha vifaranga

    Natafuta mtu aliyeko dar mwenye mashine ya kutotolesha vifaranga ili tuelewane gharama ya kutotolesha mayai 360. AniPM ili tuongee bei
  3. C

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa

    Kama umeshaamua kuweka tangazo lako la biashara humu basi jitahidi kuweka wazi kila kitu ili MTU anapokuinbox inakuwa ni hatua nyingine ya kubargain.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Kama unaweza kuja ukaiona itakuwa poa maana opposite ya hii nyumba ni office za serikali ya mtaa. Na mm mwenyewe naishi huku huku.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Kipawa iliyobomolewa ni yakule inapojengwa terminal III ya ndege na nyumba ilipo ni ng'ambo ya pili baada ya kuvuka reli ndio unaipita VETA Kipawa then nyumba inafuata
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Majira kila MTU anafence take ya ukuta so hakuna shida yoyote
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Hamna bomoa bomoa ni maeneo ya makazi kabisa. Na kuhusu majirani ni kwamba kila mtu anafence yake ya ukuta. Yaani kutoka nyumba ilipo hadi VETA ilipo ni mita 100 tu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Nyumba nzuri ipo Jirani na VETA ya Airport Dar es salaam,ni 1km kutoka nyerere road. Ina fence ya ukuta na fremu tatu kwa nje. Ina vyumba 3 kimoja ni master na choo cha public nafasi ya kutosha kwa parking ya gari mbili. Bei shilingi milioni 140/= Maongezi pia yapo. Mawasiliano ni 0658 283200...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nanenane Morogoro kunani

    Hardman, dar hakuna ndio maana Yale ya morogoro alikwenda PM, RC's wa dar, pwani na tanga
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nanenane Morogoro kunani

    Wanajukwaa nawasalimu. Napenda kufahamu kwa waliokwenda nanenane morogoro kukoje??? Maana nami nataka nijongee huko jumapili nishinde pamoja na jumatatu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Nane nane kitaifa

    Msaada jamani kwa anayefahamu maonyesho ya nanenane kwa mwaka huu yatafanyikia wapi kitaifa nahitaji kwenda kujifunza mambo mbalimbali
  12. C

    JamiiForums Tanzania Shida ya pesa

    Ninashida ya mtu anikopeshe milioni 15, naweka nyumba bondi ipo Chamanzi dar es salaam
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ufahamu zaidi kuhusu TECHNO BOOMJ8

    Naomba kwa mtu anayefahamu vitu vya ziada zaidi ninavyoweza kufanya kwaaji ya ulinzi wa simu ikiibiwa au mtu akitaka kufungua taarifa za simu yangu,nawasilisha
  14. C

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

    You know nothing brother
  15. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Kwahiyo PhD bro ndio inalindwa kwa kuongea kiinglishi???
Back
Top Bottom