TZ tuko nyuma sana kwenye swala la upelelezi, Huyu kijana hakuwa na silaha huyo polisi ilikuwa amkamate na kwenda kumhoji tu pengine wangepata habari za kuwasaidia zaidi juu ya upelelezi wao, na hata kama walikuwa na 100pcnt kwamba ndio yy lakini hakuwa na silaha, wangemkamata na kumpeleka court
Kama waziri mkuu au rais anafanya kazi ya wizara fulani repeatedly inamaana huyo waziri au wizara ni kama wafanyakazi hewa(ghost workers) ifutwe au afukuzwe kazi huyo waziri sbb ni upotezaji wa kodi za wanannchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.