Recent content by choosen_10

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza hamu ya kugegeda, dushelele nalo halisimami ovyo ovyo tena

    Huna tatzo lolote la kiafya Ni stress zimekuzid mpaka unakosa hamu...pambana kuondoa mawazo pia epuka sana kukaaa peke yako muda mwingi Jimix na washkaji....kula mlo kamili.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    vchupa vmeandikwa potelo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kero: Traffic kukuandikia fine bila kujua na bila kukujulisha

    ni uungwana upi kaufanya ilihali mwandishi hajaonesha namna yoyote ya kukataa kosa nilivomuelewa mwandishi claim yake n kuwa why abaandikiwa fine na hajapewa taarifa?ni haki yakee kupata taarifa endapo alipigwa fine.alichofanya hyo askari ni kumkomoa na si vinginevyo.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kinacho fanywa na mawakala wa TRA

  5. C

    JamiiForums Tanzania Haya maneno kwenye kinywaji hiki yana ukweli wowote?

    Labda wameamua tumia address ya head office Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Haya maneno kwenye kinywaji hiki yana ukweli wowote?

    Moshi kuna sbl Nafkr kuna makosa kwenye hyo artwork.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Tunajfunza kutokana na makosa.just jikaze na songa mbele
  8. C

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

    usafi wa vyoo na kuwahi lectre vnahusiana vip ilihali usafi wanafanya wafanyakazi walioajiriwa pale?kiukweli swala la vyoo kwa udsm ni wamefail kitambo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    hv maparage bado yapogo asee
  10. C

    JamiiForums Tanzania Joyce Mhavile na kipindi ''Aibu yako hata wewe''

    hahahhahaaha
Back
Top Bottom