Mjadala mpya wana jf :
Ni wakati gani mtoto wako anatakiwa kupata elimu bora na yenye manufaa kwake ?
À. Nursery school ?
B. Primary school
C. Secondary school !
Mawazo yenu tafadhari
Hizi kauli zinazomhusu lisu hazina uhakika,siku hizi hatuelezwi maendeleo yake,nakumbuka mh Mbowe alisema taarifa zote za lisu atazitoa yeye, lakini amekuwa kimya sana kuelezea maendeleo ya kamanda wetu
Nilitembelea wilaya ya Nachingwea, mkoa wa Lindi Wiki moja iliyopita matukio ya tembo kuuwa watu yameshamili.Inasemekana tembo wamekuwa wengi kwelikweli kiasi cha kuvamia makazi ya watu. Katika kijiji cha Namapwia tembo waliua watu Watatu na watu wengine wawili waliuawa katika kijiji cha Likwela...
Hahahahahahaha post yako imenifurahisha kweli kweli,hivi na wewe unajiita mwana CCM? au uliingia kujifunza siasa? Nadhani unatafuta kilo to haha Jf maana sababu zako ulizotoa hazina mashiko kisiasa
Bado swali langu halijapata Malibu, bado nahangaika na uelewa kwamba Uteuzi wa Dr. Possi umetenguliwa automatically. Je nafasi inaweza kuzibwa na mteule mwingine? Au kwa kuwa alishateua mtu na mtu huyu akaitumikia nafasi yake basi nafasi hiyo haitoweza kuzibwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.