Recent content by Cholbon

  1. C

    Watu wanahama Dar si mchezo, kuna nini huko?

    Mkulu alisema atakae baki mpaka mwezi wa saba mwanaume, waambie hao ndugu zako warudi dar mwezi wa saba bado haujafika.
  2. C

    Muhando: I have no choice but to move to Kenya

    Kiukweli mimi naumizwa sana na huyu dada,hakuna na hawezi kuja tokea kama Rose,naamini ndiye Mungu alimtumia kuja kuwafungua Na Waimbaji wengine wa nyimbo za injili kwamba,Mziki wa injili unaweza kukufanya ukawa na mali,So sad to hear that My favourite gospel singer Rose Muhando is in such...
  3. C

    TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    Pole sana mshana jr, Dunia hii sote tunapita tu R.I.P Mama yetu.
  4. C

    Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Nakumbuka siku ambayo meli ilizama kwenye mkondo wa Nungwi vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vya kwanza kutangaza ile ajali ni hao SABC,sisi vyombo vyetu vya habari vilikuwa busy wengine wakawa wanaonyesha miss Tanzania,Television ya Taifa ulikuwa ni mwendo wa Rusha roho, Kwa hao SABC...
  5. C

    Filamu za muda wote na hazichoshi!!

    Deadly play
  6. C

    Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

    Daaaa siamini bado kama kweli Roma na wenzake hawajapatikana walipo toka jana, kweli nimewaza kwa uchungu sana, eeeh Mwenyezi Mungu wajalie huko waliko wawe salama.
  7. C

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Ni kheri kushindia kipande cha muhogo , kuliko mkate wa masimango .
  8. C

    Kweli ni sahihi kwa Mh. Nape kumuita Afisa usalama mpuuzi?

    Mbona walikanusha yule sio mwana usalama,ndio maana hata Nape sioni kosa lake kumuita mpuuzi.
Back
Top Bottom