Filamu za muda wote na hazichoshi!!

Filamu za muda wote na hazichoshi!!

Terminator 2 The Gudgement Day
My best ever film
Ile scene ambayo Arnold alikua kwenye pick up na kuchukua M 16 na kwenda kumchapa risasi mchizi kwenye semi, lazima ninyanyuke kwenye kochi
 
Jumong na the three hardway na Fred williamson' Jimmy Kelly na yule jamaa
 
Deadly play
Hard Target
Strike commando
Rambo First blood II
No retreat No surrender II
Bridge of the dragon
 
Rocky IV
ulingoni ni Rambo na Dolph

"Stallone took a punch that caused his heart to slam against his breastbone. It swelled and caused his blood pressure to rocket. Stallone was flown to a Los Angeles hospital and kept in the ICU for eight days."
f6a30b7e3bbb1a9590140752493e862c.jpg
Hiyo ni reality au story katika movie ?
 
Western movies nazipenda mfano magnificient seven,django unchained,12year of slave,
 
Back
Top Bottom