Recent content by chokambaya79

  1. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Adamu na Eva walikuwa na Vitovu (Belly buttons)?

    Tufanye mtu kwa sura yetu na mfano wetu akatawale dunia. Akamuumba Adamu ambaye kijinsia alikuwa mwanamme.
  2. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Mossad/ Kidon hawa Ni Wauaji Wabobezi Duniani. Ni Robots waliofundishwa Kuua kwa kila aiya ya kifo

    Wale siyo watu wa mchezo wanafanya binamu.
  3. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Kichwa cha habari kilitakiwa kiwe ukuda wa mama mwenye nyumba.
  4. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mh. Nape, waimbaji wa nyimbo za injili wastopishwe

    Ujumbe umewafikia
  5. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na Bilionea Dangote

    Mitandao na baadhi ya vyombo vya habari ni wazushi, wanapenda kukuza mambo. Pia kuna baadhi ya watu wana mtimanyongo walishangilia uzarishaji uliposimama, eti kisa upinzani.Acheni roho za korosho kuweni wazalendo tuiombee nchi yetu mema. Pia tumuombee raisi wetu mpendwa.
  6. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Flat Screen TV: Umeishakumbana nayo?

    Mi ninayo singsung ya Singapore huu mwaka wa nne.
  7. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tunasubiri ujio wa BOEING mpya, TRUMP afuta order ya ununuzi wa BOEING

    Hivi kuboresha usafiri wa anga. Pia kukuza shurika letu la ndege kwa kuongeza ndege kubwa za kisasa nayo imekuwa nongwa?. Tuwe wastaarabu haipaswi kupinga mambo mazuri anayofanya Raisi wetu kisa upinzani. Anapofanya vizuri lazima tumpongeze.
  8. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mgambo amlazimisha mwenye duka kuzoa taka kwenye mtaro mbele ya mkuu wa mkoa

    Unahakiki alitupa mwenye duka? Au una hemuka tu.
  9. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Manji ahamia Quality Tower iliyopo Quality Center

    Kudaiwa si jambo la ajabu muhimu ni kulipa deni.
  10. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Kampuni ya Dangote yaweka kila kitu hadharani hivi punde tu!

    Middle man uchwara wanataka kuhujumu kiwanda?!..
  11. chokambaya79

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Mishahara haijaongezwa, pensheni hazilipwi lakini wateule wa Rais wana maisha mazuri

    Asante mzee Hashim kwa kuyaona hayo
Back
Top Bottom