Mossad/ Kidon hawa Ni Wauaji Wabobezi Duniani. Ni Robots waliofundishwa Kuua kwa kila aiya ya kifo

Mtu aliyefahamika kama injia wa mipango ile alikuwa ni Mtu wa Hamas mtaalam wa kutengeneza mabomu ambaye aliishi ukanda wa Magharibi akilindwa na watu wenye Bunduki masaa 24x7x12.

Siku moja alipokea mgeni ambaye ni mpwa wake wa mbali kutoka Gaza . alikuwa kijana aliyekuwa akiongea kwa hisia na kuonesha mwenye mapenzi sana na Uislamu wenye Itikadi kali. Huyu tungeweza kusema alikuwa mnazi wa uislam wenye Imani Kali. Baadaye wakawa wakipata Chai ya mint. Hawa watu wawili walizungumza sana mpaka jioni. Mwishoni Yule Injia mtaalam wa Hamas wa kutengeza Mabomu akamwomba Yule bwana mdogo alale mpaka kesho yake wazungumze zaidi. Yule kijana akasita sita, Injia kasisitiza basi akakubali kwa shingo upande.

Baadaye akaomba kuwa basi apewe simu aweze kuwaambia ndugu zake kuwa hatorudi siku hiyo nyumbani. Alipokuwa akiongea akaonekana mawasiliano si mazuri sana akaomba kama inawezekana akaongee nje pengine network ipo vizuri. Yule Injia alimkubalia. Baada ya muda akarudi ndani na kumkabidhi simu yake. Wale jamaa wawili walinzi wakalala pembeni sakafuni punde simu ya Injia ikaita. Alipoiweka sikioni aanze kuongea Kichwa chake kililipuliwa na ukawa mwisho wake.

Yule kijana alikuwa mmoja ya wana Kidon kiengo cha MOSSAD ambaye aliweza kuweka Mlipuko wenye nguvu kwenye simu. Na detonation au kibanzio(signal) ya kilipuzi ilitoka umbali wa nusu Mile kutoka pale walipo. Hakuna aliyekuwa amemwona Yule kijana akiingia wala akitoka eneo.ikaishia hapo.
Mkuu, nadhani hukuweka mtiririko wa hii habari vizuri.
Huyu Injinia alikuwa ni Injinia wa mabomu wa Hamas, hakuwa akihusika upande wa Mosad. Mosad walikuwa wanamsaka sana hadi walipofikia uamuzi wa kumsajili mpwa wake na kumpa mafunzo ya kijasusi kwa ajili ya kufanya hayo uliyoyaeleza na kweli alitenda kadiri ya ulivyoeleza.
Nadhani pia alifanya tena operesheni inayofanana na hiyo katika nchi moja ya kiarabu huko Afrika ya Kaskazini japo nimesahau ni nchi gani.
 
1481799638242.jpg
 
bahati sidhani kama nimesema kuwa alikuwa anahusika na mossad. injia nimesema wazi kuwa alikuwa ni injia wa mabomu wa hamas. unaweza nionesha ni wapi nlisema kuwa alikuwa ni Mossad?

Mkuu, nadhani hukuweka mtiririko wa hii habari vizuri.
Huyu Injinia alikuwa ni Injinia wa mabomu wa Hamas, hakuwa akihusika upande wa Mosad. Mosad walikuwa wanamsaka sana hadi walipofikia uamuzi wa kumsajili mpwa wake na kumpa mafunzo ya kijasusi kwa ajili ya kufanya hayo uliyoyaeleza na kweli alitenda kadiri ya ulivyoeleza.
Nadhani pia alifanya tena operesheni inayofanana na hiyo katika nchi moja ya kiarabu huko Afrika ya Kaskazini japo nimesahau ni nchi gani.
 
Sijaelewa kitu, story haina mwanzo, kati wala mwisho, iko juu juu tu. Mkuu jaribu kupangilia matukio ili tukuelewe.
 
aisee... kama umeshindwa kuelewa hii nisamehe tu ndugu yangu maana hapo siwezi kukulaumu hata kidogo. nitajaribu kuandika tena maalum kwa ajili yako. lakini nlivyoandika ni kama ilivyo kwenye masimulizi yenyewe. sema kule ni kiingereza huku ni kiswahili. nisamehe maana uwezo wa kuelewa una tofautiana.

Sijaelewa kitu, story haina mwanzo, kati wala mwisho, iko juu juu tu. Mkuu jaribu kupangilia matukio ili tukuelewe.
 
Mtu aliyefahamika kama injia wa mipango ile alikuwa ni Mtu wa Hamas mtaalam wa kutengeneza mabomu ambaye aliishi ukanda wa Magharibi akilindwa na watu wenye Bunduki masaa 24x7x12.
Hapa kuna mkanganyiko ndio maana nilisema mpangilio haukuwa mzuri.
Kwenye red unazungumzia mipango ipi?
Kwenye buluu, huyu mtu alihusikaje hasa na simulizi za awali za mipango ya Mossad kwa namna ulivyokuwa unawaelezea.
Inaoneka kama vipande viwili vya hadithi vimekwa sehemu tu.
 
Hapa kuna mkanganyiko ndio maana nilisema mpangilio haukuwa mzuri.
Kwenye red unazungumzia mipango ipi? Mipango ya Mashambulizi ya Mombasa. ni makosa tu kwenye kuandika niliruka maneno kadhaa
Kwenye buluu, huyu mtu alihusikaje hasa na simulizi za awali za mipango ya Mossad kwa namna ulivyokuwa unawaelezea.
Inaoneka kama vipande viwili vya hadithi vimekwa sehemu tu.
 
utafakari,ujasiri, weledi,nguvu na fedha nadhani ndio nguzo mama za haya mambo kupass kama wanavyotaka.
hawa ni watu wanaojua nini wanafanya hasa ktk suala la kutetea maslahi yao..

mkuu Tanzania tuna TISS vipi kunavikorombwezo kama hivi..? kama vipo tuletee tujione na sisi tupoje tupoje kwenye maswala kama haya
 
Back
Top Bottom