Recent content by chokaa nyeusi

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Untaka kutuambia wewe hujawah liwa kimasihara na umri ulionao
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jamani panya wametafuna tsh. 90000/= sijui nifanyeje?

    Peleka benki... Kma namba bado zinaonekana utapata pesa yko
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka niende bachelor of physics au veterinary medicine

    Suala LA kuwa nani si muhimu sana ili nataman nipate mawazo kozi ipi itakuwa na faida kwangu huko mbeleni...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka niende bachelor of physics au veterinary medicine

    wadau mada kma inavyojieleza niende kusoma kozi ipi kati ya hizo mbili na manufaaa yake huko mbeleni.leo ndo mwisho wa kuthibitisha.......mawazo yenu tafadhali kwani nimekwama
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hill water na Afya Water punguzeni midomo(kipenyo) ya chupa zenu za maji.

    Picha tafadhali. Ili tuchangie vzr
  6. C

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    ITV super brrand mmeshindwa kuianalyze hbar yenu. Mnakuwa kma mnakimbilia kuripoti... So tendo LA betri lilianza kabla ya watu kuchota mafuta...poor ITV
  7. C

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Dah inasikitisha wapo waliopoteza maisha kisa tu walienda shangaa ajali. Tusihukumu sana. RIP all victims
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Huyu Jpm alikuwa anamtafutia angle nzuri ya kumla kichwa alikuuwa hajapata... Ila kwa sasa dogo kaingia mzima mzima amekatwaje vizur....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Jpm katika ubora wake...kamwe sharubu hazichezewi... Musiba anaendelea kuwaweka makada matatani...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Huwa wanasemaa.... Hulia na wakwaooo.. Jpm ktk ubora wake.. Kamwe sharubu hazichezewi...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Gerezan miez Tisa ndo mwaka mmoja
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

    Umeelewka kuliko hata aliyeleta Uzi... Ila heruf kubwa zinabooooooa....
Back
Top Bottom