Recent content by Choddi

  1. Choddi

    Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

    Well said CHIEF 👏 UPO SAHIHI KABISA I experienced this siku zilizopita,Nina marafiki wawili wa tatu wa kike yani ile ile swaiba swaiba mambo vipi tena nayo ilisababishwa na mazingira yavkazi. Ila mazoea takavuka mipaka hadi kuanza kuombwa vocha(Mar kwa mara).Mwisho ikabidi nikatae mazoea maana...
  2. Choddi

    Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Anahah Hawa viumbe wa kike ni wa kwenda nao vizuri.Kuna mmoja ana story kama yako tulikulana kwa kupandiana dau.Baada ya siku tatu naona anaanza mazoea ya kunipigia simu,mara nakusalimia anhaha. Mazoea yakawa yanaongezeka mara nimekumic nataka tuonane halafu ukipiga shoo anataka malipo.Kesho...
  3. Choddi

    Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    First of all. Tanzania ni ya watu wote hakuna mpaka au ubaguzi wa aina yoyote kila mtu ana uhuru wa kuishi au kufanya biashara sehemu yote iwe kwa kufuta sheria na taratibu. Pale kariakoo WAKINGA na WACHAGA wamejaa balaa ingawa wenyeji wa jiji ni wazaramo,wagindo etc.Hivyo sehemu yoyote yenye...
  4. Choddi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Anhah mkuu..tahadhari ni muhimu sana last week nilikutana na mazingira kama yako but in different areas.Week tatu zilizopita nilienda sehemu moja kupata supu ya kongoro(mimi ni mlevi sana wa hii kitu) kwenye kamghawa fulani ambako wanauza mazaga mengi muda wote.Yani wapo active muda wote iwe...
  5. Choddi

    Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Mwanamke wa saiv kunpa mimba ni hadi hatake.Unawajua masista duu wa town hivi kaka.wale washenzi kabla ya kuja kwako anameza P2 mnapiga gemu...akitoka hapo anameza P2 tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani kumtia mimba labda uwe unaishi naye kabisaa hatoweza kumeza p2 daily ili hii ya kesho...
  6. Choddi

    Sitosahau nilipopokelewa na dragon nilipokwenda kwa mganga

    Kwa mganga utarnda tu kijana sema bado ujapambana na masibu ya ulimwengu vizuri. HATA mimi nilikuwa naongea na wewe ila ili niradhimu kufika kwa mganga. Ni baada ya kaka yangu kuugua ugonjwa wa ukichaa yani mtu anakuwa chizi kabisa.Pambania mgonjwa hospital kwenye wodi ya vichaa karibu miezi...
  7. Choddi

    Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

    Hawa wanawake ukiwin saikolojia yake mbususu anatoa tu hata awe mtalaka Back in day nilipata manzi mashaalah hadi nikahisi kama nimeokota dhahabu kariakoo. A woman was very beautiful kaumbika,nidhamu ya kutoka maana alikuwa anaishi kwao na familia yao ilikuwa I.ejengwa kwa misingi ya dini...
  8. Choddi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tuma picha yake tuione mkali... Mambo ya kunukia huwa ni poa sana.Siye wahuni tunaovaa nguo mara mbili mbili ina saidia sana....NAOMBA PICHA YAKE Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  9. Choddi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Fala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95] Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  10. Choddi

    Nikimkumbuka Ronaldinho Gaucho machozi yananitoka

    Hili goli ni hatari Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  11. Choddi

    Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

    Anhaha hata wanawake huwa wanahisia na hutokea kuvutiwa na mwanaume fulani. Basi imewahi nitokea kama three years back,wakati nimejichanganya mjini napiga harakati za kusaka mpunga kwenye duka kama mfanyakati. Sasa mnavyojua Town madukani kibao na duka jirani ni mwanamke alikuwa anauza pale she...
  12. Choddi

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mzee wa luchelele ni PM mzee tuongee[emoji1787][emoji1][emoji91]
  13. Choddi

    Mwanza imeharibika kwa ukahaba

    Sehemu gani?
  14. Choddi

    Wema wangu umeniponza nimefirisika na kukimbiwa na mke

    A haha kwanza pole halafu cha pili tunaomba kujua kiwango chako cha elimu.Nina ubia kiukoo na wachagga asee sijawahi kuona mchaga anapigwa kizembe kama wewe? Yani unatoa 15m kwa mdogo wako halafu anagoma kukuonesha biashara yake!mbaya zaidi hata kwenye kikao cha ukoo ukuomba evidence ya biashara...
Back
Top Bottom