Recent content by Choboridodo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mnawezaje kukabiliana na mawazo? Maana naona kwangu ni kama nimeshindwa!

    Pole kijana wangu but amagambo buke buke mwa mmanganyanyi don't you be disheartened yemuga, ulumva?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

    Kama una boom jitahidi kujibana sana usije mtaani kiboya,mtaani ni kuchungu mno ukija mikono mitupu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi kuhusu kutekwa kwa Abdul Nondo sijaielewa

    Kabisa kaka,tena wangeanza na watu wa familia yako ingekuwa poa sana maana naamini utakuwa kiongozi wa wananchi watakaoamka.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kila ukifanya unasema hii ni mara ya mwisho?

    Naishukuru serikali ya mama Samia nilishaacha huo mchezo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Mwaka 1993 ulikuwa hujazaliwa?!!🤔🤔 Kuna haja ya Jf kuweka utaratibu wa watu kutuamkia humu. Au umelenge mwaka 73?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Bila shaka utakuwa umeacha saivi,na kama hujaacha jitahidi uache ni dhambi hiyo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

    Duh dunia ina mambo hii
  8. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Bora tuwe na taifa la masikini wanye elimu kuliko taifa la masikini wasio na
  9. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Bora tuwe na taifa la masikini wanye elimu kuliko taifa la masikini wasio na elimu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Unafahamu jina la awali la jiji la Dar es Salaam?

    Sijui umesoma historia ipi Ila niliyoisoma mimi nilipokiwa shule ya msingi miaka ya nyuma inasema,Sultan Said bin Sayyid aliyekuwa mtawala wa Oman aliitwaa Zanzibar na kuitawala kuanzia mwaka 1828 na ulipofika mwaka 1840 akaitwaa Mzizima. Kwakuwa alilichukua eneo la Mzizima bila mapigano ya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Muvandimwe ukurikiza amakuru ya Tanzaniya?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wengine 25 wahukumiwa kifo kwa kukimbia Mapigano dhidi ya Waasi wa M23 DRC

    Bashakaga ubwabo, baramutse bemeye gusohoza ibyifuzo bya M23 hashize imyaka igera ku 10, uyu munsi ntibari kugera aho bacira imanza abasirikari babo, ibi biteye isoni cyane igihugu cya Congo
  13. C

    JamiiForums Tanzania M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Ntabwo ari byiza gukurura urwango, Abanyarwanda n'Abanyatanzaniya bazakomeza kuba abavandimwe ubuziraherezo
  14. C

    JamiiForums Tanzania Filamu gani ya kutisha Ilikubamba sana enzi hizo?

    Ubinafsi wa kijinga tu, kuwa na elimu si kujua kila kitu. Anyway cha kufanya click hilo jina la huyo jamaa itafunguka kama hivi hapo chini. Click hapo palipoandikwa start conversation.
Back
Top Bottom