Recent content by chloe.obrain

  1. chloe.obrain

    Ukisikia fumanizi basi ndo hili...

    ahahahhaahaha my ribs lol :becky:
  2. chloe.obrain

    Nahitaji mke

    Ehehehehehee....... umenchekesha sana mkuu.
  3. chloe.obrain

    Uvumilivu unanishinda jamani....

    kuna mahali pa kujishikishia memba???? kwanza memba ndo nn???
  4. chloe.obrain

    Ni hatari kwa mwanaume kuoa mwanamke wa hivi..

    natamani kweli zile enzi zirudi lol! bibi yangu aliwahi kunisimulia hiyo habari yaani ilikuwa ni kufunika vile vifaa vya midungunyuo baaaas, nadhani enzi hizo wanaume walikuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia ny.ge zao tofauti na sasa.:A S 39:
  5. chloe.obrain

    Akili za wanawake bwana!

    ahahahahha pmoses95 sawa kaka mukubwa nimekusoma, sitarudia tena. Ila wanawake tuna akili nyingi sana kumbuka Adam na Eva/Hawa, kumbuka Samson na Delillah. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.:shut-mouth:
  6. chloe.obrain

    Akili za wanawake bwana!

    ahahahaaha Yes!!!:smile-big:
  7. chloe.obrain

    Akili za wanawake bwana!

    aahahhahaha nimeipenda hiyo! oeni midume kama wanawake hatuna akili!:high5:
  8. chloe.obrain

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    ushauri wake upo sahihi sana tu, siwezi kumwamini mwanaume hata anipe kitu gani never!!
  9. chloe.obrain

    Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

    ni kweli aisee wanaume wa kisukuma wako poa sana!! ila wa kibena(hehe) mmmh!! kaazi kweli kweli
  10. chloe.obrain

    Wafufua maiti na kuitembeza mitaani

    Chinekeee!!!! Wonders shall never end ooooh!!
  11. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    Nilisikia hii habari msibani watu wakiongea pembeni, yawezekana kuna kaukweli.
  12. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    ndo kisababishi cha huo ugonjwa au? mmhh!!!
  13. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    I don't know Fidel80, ni mdada hata hivyo, may be alikuwa anapenda kulamba koni.:becky:
Back
Top Bottom