Recent content by Chizoka

  1. Chizoka

    Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

    M nadhani Kama issue ni uchovu basi kuwekwe sheria ya dereva wa mabasi ya abiria route ndefu awe ana umbali maalum wa kuendesha na asizidi hapo. Mfano umbali wa mwanza dar mwisho iwe mwanza dodoma then ndo mwisho wake hadi kesho yake arudi mwanza ama achuke route ya dom dar. Pia na kwa basi...
  2. Chizoka

    Kademu au mshikaji uliyekuwa unampenda enzi unasoma anaitwa nani

    Msingi-Vivian wa kota za NBC naenda kununua ice scream najua atatoka yeye tu nimuone roho itulie sound sina namuogopa wakishua. Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  3. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Hapo sawa nimekuelewa mkuu, nashukuru
  4. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Kama rais alikuwa madarakani kwa 21 yrs
  5. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Pamoja na kupenda bado itakubidi upige na kura mkuu
  6. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Nimekuelewa mkuu ila maelezo yako baada ya nukta sijui kuna tatizo gani nimeshindwa kuyasoma vizuri[emoji41]
  7. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Kwann 6 mkuu kwani awamu ni miaka 5 au 10? Au Rais ndo awamu?
  8. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Kwani naww ni muhimili uliozama? ama uliozamishwa zaidi?
  9. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Naona kama bado hujafafanua kiuwazi mkuu, kama awamu inatenganishwa kwa kipindi cha miaka mitano inakuaje walioongoza miaka 10 still tuliitambua kama ni awamu moja badala ya mbili?
  10. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Kama utashindwa ku-argue na kuhoji kwa kisingizio hicho basi hamna umuhimu wa kuwa na kichwa chenye ubongo mwingi na kumiliki jibu moja tu la 'UCHOCHEZI'
  11. Chizoka

    Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

    Naomba mwenye ufahamu ama jibu MFANO ikitokea katika Uchaguzi ujao wa 2020 Rais aliyepo kama anavyofahamika ni wa awamu ya 5 akashindwa uchaguzi je atayechukua madaraka atafaa kuitwa Rais wa awamu ya 6 ama atakuwa ni Rais wa 6 ila awamu ya 5?
  12. Chizoka

    Ijue F-35 Bomber jet Fighter Ambayo Rada za Kichina Au Urusi Haziwezi Iona!

    Nilivyoelewa mm hiyo taarifa: F-35 Haiwezi kuonekana isipofire against target na sio haiwezionekana katika radar(completely) hata ifanye nn. Maana Mara itakaposhambulia basi inagive up location yake na kwa kulijua hilo wanaitumia F-35 kupenya ktk area ya adui inakusanya taarifa za target then...
Back
Top Bottom