Recent content by Chizoba_CzB

 1. Chizoba_CzB

  Ni kitu gani kimekusukuma kufanya ujenzi?

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 2. Chizoba_CzB

  Kwanini Matajiri wengi wanapendelea kuvaa nguo Rangi ya kijivu?

  Sio matajiri tu hata mimi Binafsi napenda sana rangi ya kijivu naipenda sana
 3. Chizoba_CzB

  Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

  MWANZA MWANZA NAPENDA SANA KUPAISHI MTU YOYOTE WA MWANZA NAOMBA UWE MWENUEJI WANGU
 4. Chizoba_CzB

  Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

  Kaka mi nikiwa na mtaji wa $10,000 kwa fx hiyo laki 3 ndogo sana ntatengeneza $500
 5. Chizoba_CzB

  JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

  Hiii kamba kaka kaivuta sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 6. Chizoba_CzB

  Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

  Imekaaa poaaa sana kiukweli nimejifunza zaidi piaa Law of Nature ni balaaaa sana binadamu tumepewa nguvu za ajabu sana sana lakin wengi wetu tumeshindwa kuzing'amua na kuzitumia hizo power wachache sana wanajua this secret. Be Blessed Uzi umetuliaaa
 7. Chizoba_CzB

  Vijana wa Kiume badilikeni

  So Sad tunakoelekeaaa
 8. Chizoba_CzB

  Nimeishi ughaibuni (Ireland) miaka 10, nikachuma pesa huko nikarudi kuwekeza nyumbani Tanzania

  Big Up Man yaan kiwekeza katika Kilimo Brother u made it napenda sana niwekeze katika kilimo
 9. Chizoba_CzB

  Namna bora ya kurefresh akili

  Mimi nikiwa sina hela Ni KULALA na KUKAA MLIMA NAANGALIA SUN SET
 10. Chizoba_CzB

  Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

  Karibu Babati kamji kanakua kwa kasi na Fursa za ujenz kwasabu babati ipo Center ya Arusha na Dodoma miji mikubwa hiyo
 11. Chizoba_CzB

  Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

  Bila Shaka hii ni DRUG INC hii sio ? Jamaa wanaonyeshaga kila kitu kuanzia kutengeneza dawa za kulevya kuzipakeji mpk kisafirishaa ni balaaaa
Top Bottom