mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
Kero za kugegedana wapangaji wenzangu
Kero za kugegedana wapangaji wenzangu
Mwananyamala tena hapo ndio nimekaa miaka 10
Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa... Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni...www.jamiiforums.com
Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)
Sure thingKuna maeneo Dar ukiishi ni shule tosha kabisa yaani, , kila baada ya nyumba moja pusha na machangu wa kutosha.
Mm mpaka sasa nipo nyumba ya 7 mkuuHatari nipo na mimi naelekea kwenye hii list yako maana mpka sasa nimehama mara tatu naelekea ya nne sema hii sehemu ni mambo ya majukumu yananiamisha
Wengi wetu tunajenga Mabanda tunayodai Ni nyumba.
Mkuu niamini mm ukiwa na matamanio kama hayo, ukiweka nia na malengo unaweza, tena sio self contained ni nyumba full.Ningependa sana nijenge tu chumba self contained ila kadri siku zinavyoenda mbele naona kama vile itabaki kuwa ndoto😞
🔹Matamanio yapo, nia ipo ila shida inakuja pale ambapo wewe kila siku unatafuta hela kwa ajili ya chakula cha kesho, na sio kila siku utaipata.Mkuu niamini mm ukiwa na matamanio kama hayo, ukiweka nia na malengo unaweza, tena sio self contained ni nyumba full.
nna friend of mine.....jamaa yeye kakomaa...."kujenga ni hofu ya maisha".....na kweli hata kiwanja hana habari.....na sio kwamba hana uwezo.
Tuko nae kwenye mishe sana.....ananishangaa saaaana....eti nyumba nijenge....za kupangisha wakae nani....same late 40's....namuangalia tuu...
hahahaza kupangisha wakae nani
Nimechekeka bila kutegemea,Mke wangu ana gubu, na dharau,anatunishiana misuli na wenye nyumba,yaani kila nyumba tukipanga ile kodi ya kuigilia ndio huwa ya mwisho.
Tukaona tujenge ya kwetu/ zetu.sasa hivi nae ni land lord na upole umekuja ghafla.
Nae eti anachukia wapangaji wakorofi.
Shida yako wewe ulienda kujenga Kerege huko more than 40 k'meter kutoka city center unadhani ungejenga nyumba ya maana?maana huko unakuta jirani yako kajenga banda la udongo juu kaezekea nyasi wote mtaona kawaida tu hata ukijenga banda la mil 17 utaona wote tunafanana.Wengi wetu tunajenga Mabanda tunayodai Ni nyumba.
Niamini, ukigiv-up imekula kwako. Usifikirie hela ya kula tu hautotoboa.🔹Matamanio yapo, nia ipo ila shida inakuja pale ambapo wewe kila siku unatafuta hela kwa ajili ya chakula cha kesho, na sio kila siku utaipata.
🔹Bado shangazi hajameza wembe unatakiwa utoe sijui hela ya matibabu, mkopo benki hausomeki huna kipato kinachoeleweka
Unazingua ww mkuluBonyokwa 1
Kibo3
Kibangu1...
ila najisikia raha sana kuwanyanyasa wapangaji wanguSasa wakikutana na muhaya wangu ,vinaumana,dharau,kujikweza,shombo zote mdomoni zipo,
Mwisho wa siku mwenye nyumba anachemka utasikia, " kodi yenu ikiisha muhame, sipokei tena kodi kutoka kwenu"
Mkuu unamiliki pagale afu unaita nyumba ya mwenzio miyeyusho? 😆😆😆😆Habari za majukumu mabibi na mabwana!
Katika harakati hizi za maisha watu hupitia mengi sana, Kuna kipindi pesa inakubali, Kuna kipindi unachapika mpaka unajuta kuzaliwa. Anyways twende kwenye jambo la msingi, hivi ulisukumwa na na nini mpaka kufikia uamuzi wa kujenga nyumba unayoishi? Ni dhahiri kabisa kwa walio wengi watakwambia walichoka na usumbufu wa ma baba na mama wenye nyumba zao
Mkuu unamiliki pagale afu unaita nyumba ya mwenzio miyeyusho?