Nyie hata msipolipwa ni sawa. Huwa mnatumika kama mbwa. So hata serikali inajua hamna akili ndo maana ina wa treat namna hiyo. Mnapata mnachostahili. Wengi hamjui kuwa mkisha staafu huwa hamna maana tena na hata mkiwa kazini maana yenu huwa pale mnapoambiwa mkapige raia. Kinyume na hapo ni...
Nyie huwa tunawatumia kama ngazi. Mwenzio nazunguka nchi tofauti tofauti kama mwambata. Elewa mtu mwenye masters ya international relations miaka ya 90. Nimezunguka nchi zaidi ya 80 duniani. And right now nipo nje ya Tanzania mfululizo mwaka wa 19 huwa nakuja tu likizo Tz twice a year. So uelewe...
Pole sana dogo. Ukijiangalia matatizo uliyo nayo unaamini wote wapo hivyo? Ha ha ha ... Nyie mimi naweza waoa wote familia yako na nikawajengea nyumba kila mmoja. Mi siishi Tz dogolasi.
Inaonekana nyie kwenu mna shida sana. Unadhani Kabudi ana maisha ya kutisha sisi wengine? We nadhani anaweza waoa familia yenu wote akawapiga pipe. Jinsi unavyomuabudu na kumwogopa... Mtapigwa miti sana na Kabudi.
UNAJIMISS MWENYEWE?. IDs nyingi zinawasaidia nini? Mtu umemwandika sisi wengine tupo miaka na miaka humu hata hatujawahi msikia. Unajimiss kwa ID moja kisha utakuja jijibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.