Recent content by Chiwanda boy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi akina Mbowe wanaendelea kusota rumande kwa kukomolewa?

    Haya yote ni Mapito tu. Kila jambo lina mwisho wake walikuwepo makatili Wa kutisha, lakini wote wamepita, na hawa pia watapita.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitikisa ngome ya CHADEMA Arumeru

    Ngojera nyingi ili upewe kacheo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Dk. John Pombe Magufuli yaleta neema mkoani Arusha: Mradi mkubwa wa Maji kumaliza kwa 100% tatizo la maji jijini Arusha na Arumeru.

    Acheni kusifia hata mambo yasio muhusu .mradi Wa maji Arusha ulisha anza muda mrefu na umegharimiwa na wafadhili sio serikali ya Tz
  4. C

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, anguko la CCM laja. Ni 2020...

    Acha kukufuru. Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho ila Mungu tu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Hamisi Kigwangalla: Picha hii hanivunji nguvu wala kukwamisha harakati zangu

    Hapo akili ilikuwa bado haija vurugwa .
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    Uoga ulio pitiliza ndio sababu inayo mfanya atajetaje majina ya watu na vyeo vyao.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyenzi Mungu hakumuumba Lissu kama alivyo leo

    Angalia mambo yanayo endelea sasa utafahamu yakuwa damu ya lisu imeanza kuwalilia wale walio imwaga kila wanalo lifanya kwa siri linajulikana hadharani mapemma. Na bado tuta
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushoga wamliza kwa uchungu RC Makonda kanisani Efatha kwa mchungaji Mwingira

    Unauhakika gani kama Mungu yuko pamoja nae.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kitendo alichofanyiwa Amber Rutty si kizuri. Watetezi wa Haki za Binadamu mko wapi?

    Huna huruma wewe ,sio kila kitu anacho kifanya mwanadamu huwa anafanya kwa kupenda ,vingine huwa ni upungufu Wa akili ndio unao sababisha.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Zitto: Amnesty International waijia juu Polisi

    Ni ipenda hiyo. UJINGA WA KIHALAIkI.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Chuki binafsi acha ndugu yangu.picha ya kishamba imebuma nyie pigeni kimya tu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

    Chuki binafsi. Wamebana mwisho wameachia. Wahuni wakishamba sana hawa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kapiga simu nyumbani wamfuate, watekaji walao ni wema kumpa simu

    Hahaaa yajayo yanafurahisha.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Ni Mungu mwenye nguvu na mamlaka yote.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Waache uhuni Wa kishamba watueleze ukweli.
Back
Top Bottom