Rais Magufuli aitikisa ngome ya CHADEMA Arumeru

Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!

Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..

Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
Hahahahahaha,

Hao wanaofurahia ni wajinga wenzako mliobebana nao kutoka huko usukumani na Rwanda
 
Baada ya kukuchagua ukala ukashiba sasa unawaona wajinga wananchi wa Meru?

2020 ni futa delete matapeli chadema kaskazini
 
Kaskazini ilishatengwa siku nyingi na tulielewa hilo miaka 100 iliyopita tulipambana kivyetu kwa sasa tuko level nyingine kabisa

Hutakaa uelewe na hutaelewa milele
 
Level nyingine ipi wakati hata maji hakuna ndiyo maana rais amezindua mradi leo?
 
Nassar kazi yake nini na hiyo serikali ya ccm kazi yake nini
Hahahah Nassar atosha kwenye nini..kikombe au...?? Unawez kutuambia amefanya mambo gani kule kama sio serikali ya ccm ndio imefanya maendeleo hayo..yapi kafanya Nassar
 
NILITEGEMEA UNGETUWEKEA HATA PICHA YA WATU WAKIRUDISHA KADI ZA CHADEMA NA KUPOKEA ZA CCM. SASA SIJUI KUPOKEA MTU NDIO KUTIKISIKA KWENYEWE?
 
Hivi sehemu yupo mkuu wa wilaya kama yule unategemea nn kitokee?
 
Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!

Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..

Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
Etiii ??
tapatalk_1540785265907.jpeg
 
Achana na Mbowee bana..ni taplo la kimataifa hilo.kwani unadhan wananchi hawaoni..achana na watanzania aisee wana akili kuliko wanavyofahamika..hahaha..kwanza wengine ukiwauliza Mbowe ni nani wanakujibu ni yule jamaa aliyekula hela ya Luwasa..yaani alinunuliwa..
Sijui kwanini kiwango cha ujinga kimeongezeka sana awamu hii!
 
Hahahah Nassar atosha kwenye nini..kikombe au...?? Unawez kutuambia amefanya mambo gani kule kama sio serikali ya ccm ndio imefanya maendeleo hayo..yapi kafanya Nassar
Inaonekana kichwa chako kimejazwa funza badala ya ajili!
 
Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!

Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..

Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
Ndio ukweli halisi, chadema inamashabiki ila haina wanachama
 
Ngojera nyingi ili upewe kacheo.
 
Back
Top Bottom