Recent content by Chiume

  1. C

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Aaahh! Kumbe Ulimboka mnamdanganya yeye wakati nyie mnaogopa?!!! Woga wa kijinga kabisa! Watakuja watu kuchukua mke wako, kisa askari watamla mbele yako! Chiume Kamese
  2. C

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Uzushi mwingine ni wa ajabu sana, wewe vya kwako viko wapi mpaka ummseme Nape? Mie nakujua wewe sio wa kusema, hata wezi kama wewe sikuhizi mnapanua midomo????? Makubwa, tumekwisha ka mpaka vibaka wanasema sikuhizi mbele za watu!!
  3. C

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Nyani Gabu unazeeka vibaya sasa! Haihitaji degree kujua kuwa u anaota ndoto za mchana huku unatembea, mdhara yake ndo hayo sasa, una wish mambo yasiyowezekana!! Pole sana wewe na wa akili kama yako!!
  4. C

    Nape azomewa makambako

    Naleta picha soon jinsi vijana tena nawafahamu kabisa wa cdm wakisukima gari la Nape, kwa hili ntamtetea Nape
  5. C

    Nape azomewa makambako

    Hapana sasa mnakubuhu kwa uongo,simpendi Nape lakini kwa Makambako kafanya kitu sijaamini kama ni Nape huyuhuyu ninae mchukia. Katoka vijana wanasukuma gari yake kwa furaha leo wawadanganya watu. Mengine sawa lakini si la Makambako QUOTE=Milindi;4005850]Mkutano WA nape makambako waishia kwa...
  6. C

    Nape awapasua vichwa CHADEMA

    Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si...
  7. C

    JK akiri serikali haiaminiki - AFICHUA KISA CHA KUACHWA MA-DC

    Nngu007, Mzee Kawawa aliwahi kusema ukifanya jambo Adui yako akakusifia ujue umekosea, lakini ukifanya adui yako akalalamika ujue uko sahihi! Toka Nape awe katibu mwenezi amekuwa akitukanwa kila aina ya matusi, kisa amekuwa mwiba kwa upinzani nchini!! Mbona kabla ya hapo alionekana shujaa...
  8. C

    Lema: Lowassa, Sitta na Mwakyembe kuhamia CHADEMA

    Lema amewataja Ndg. Edward Ngoyai Lowassa, Ndg. Samweli Sitta na Ndg. Harisson George Mwakyembe kuwa ni kati ya vigogo walioomba kuhama kutoka CCM kuja CDM. Source: Nimehudhuiria mkutano wake wa jana! ========= UPDATE:
  9. C

    James Mbatia na Nape Nnauye wakiwa Denmark kuhudhuria mkutano wa vyama vya Siasa

    Hivi huyu Nape mbona anatuchezea akili? Alikwenda New York akapiga picha na Sefue baada ya wiki mbili Sefue akawa Katibu Mkuu Kiongozi... Kaenda na Mbatia Uholanzi karudi wiki mbili baadae kateuliwa Mbunge na Rais... Kuna nini hapa?????
  10. C

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Anatukimbiza sana cdm si siri
  11. C

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Dogo pamoja na mapungufu yake tukubali anajitahidi so far kwa vijana nchini dogo anajitahidi sana..... KUITETEA CCM KWA SASA INAHITAJI MOYO NA KICHWA CHA MWENDA WAZIMU
  12. C

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    kwa mara ya kwanza nakutana na thread imetenda haki kwa Nape lol!!!
  13. C

    Kwa mara ya kwanza nakiri kuipenda CCM kwa dhati

    Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa...
  14. C

    CDM kuvuna wanachama wa vyama vingine ni akili au matope?

    Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))
  15. C

    CDM chifunzeni kwa chaguzi ndogo tisa kati ya kumi na moja mlizopigwa

    Uongozi wa CDM bhana full matatizo mmepigwa chaguzi ndogo tisa kati ya kumi na moja mlizoshiriki.... hili linapaswa kuwa fundisho mjipange vizuri kwa mpambano jamani, kukomboa nchi si lelemama jamani.
Back
Top Bottom