Recent content by chiumbo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mama huyu kipofu kanishangaza

    Vipofu wana Uwezo Mkubwa sana wa Kutambua bila Kuona
  2. C

    JamiiForums Tanzania Juma Said Juma 'Ngedere', Shujaa wa Kinondoni

    Nimekumbuka Hiyo... Hapo American Chips Kwenye Hilo Pambano, Nakumbuka Juma Ngedere Aliingia Pale Kwenye Pambano Saa 9 Alasiri, Masaa 3 kabla ya Muda Wa Kuanza Pambano... Alifanya mazoezi makali mfululizo Kuanzia Saa 9 hadi 12 Kama Maandalizi... Watazamaji wakajua Kuwa Leo Atakufa Mtu, wakaamua...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Juma Said Juma 'Ngedere', Shujaa wa Kinondoni

    Kwa wakazi wa Kinondoni, Tunaomba Mtukumbushe kadri mtakavyoweza, Uwezo na Matukio Aliyoyafanya Juma Ngedere, Kipindi chote Alichovuma Katika Michezo ya Kujihami... Historia yake na Alipo sasa. Kado Cool, Naamini Ana Maelezo ya Kina. Je, Mashujaa Wenzake hasa wa Kipindi chake, Wako wapi sasa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

    Mara ni mkoa wa Magharibi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

    Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga. Mwanza ni mkoa wa Magharibi
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Mwanzo Ottawa Alikuwa Akifanya Biashara ya Malori baada Ya Kuwa Anayanunua ya KAURU na Kuyakarabati Kubebea Mazao Kupeleka Mjini. Aling'ara. Ksha Akaibukia Katika Mabasi na Vituo vya Mafuta. Kweli Abdallah Ottawa Aliogopwa kwa Ushirikina. Alikuwa na Dereva Machachari sana Akiitwa Massawe.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    BBS ndio Bin Kleb Bus Service, Ilikuwa Inajiita Super Maji Maji No. 1 Kweli Naikumbuka Sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Turbo Express
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Pia Kulikuwa na Likungu, SABCO, Ruvuma Tours, Special Sleeping Coach, Tawaqal, Mail Coach, Shabiby na Kiswele. Kwa Mbinga Kulikuwa na Sadi Investment na Toto Coach
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Kuna Basi Lilijulikana kama Siri Yako pia
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Mohamed Trans ni Mzee wa Kahama
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kikombe gani kitajaa chai mapema zaidi?

    Kikombe Namba 9 Ndio Kitajaa Upesi/Haraka
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hiki kina kazi gani kwenye friji?

    Nafikiri kuna Kaukweli Kutokana na Maelezo ya Dronedrake Ingawa Wachangiaji Wamevamia kwa Pupa Bila Kutafakari kwa Kina. Ni Kweli Wachangiaji Wanaposema Presha Inakuwa ndogo When the area is big at constant Force applied, as Pressure is inversely proportional to Area... That is very true. Kwa...
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuongeze kujiheshimu...

    Uboho ni bone marrow, Ile tissue iliyo ndani ya mifupa ikitengeneza Chembe hai za damu nyekundu (red blood cells) Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom