Recent content by chiter

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya wanawake kupush wimbo wao wa 'Wanawake Moto' ni ndogo sana

    Wamechafukwa na vikoba na kausha damu
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Tena nibora awahi kukimbia mana akisha zaa huyo basi ni balaaa na nusu
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Hawa viumbe ni ni shida niko nae mwaka wa 7 sasa ila cha moto nakiona asee ngoka niishie hapa tu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Au jumatano ya mitende
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Wengi wenu ni wanafiki Kuamka saa kumi alfajili kula Hamna lolote
  6. C

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kukuta eneo linanuka sana na wakazi wa hapo wapo busy na mishe zao bila shida

    Mtaani kwetu kuna wachina kalibia mtaa mzima unanuka vibaya hasa siku ya kutoa takataka Sijajua wanakulaga nini shombo la viumbe vya baharini ni kubwa sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje binadamu mwenzio anakuwinda maisha namna hii?

    M pesa aijasikia hii kitu kweli
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje binadamu mwenzio anakuwinda maisha namna hii?

    Kama nikweli haya basi wewe mwenyewe una umbulula asee
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

    Vikwazo afkumi na sita nabado mwamba anatembea fresh tu duh
  10. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    We angalia kikundi cha watu 30 wamejikusanya dhidi mbabe mmoja tu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

    Umembana kwenye kona
  12. C

    JamiiForums Tanzania Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

    Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,nyonya,zurumu watu,limbikiza mali. Ila lazima uende shimoni tu.
  13. C

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route ya Kibaha Kariakoo, Ferry Mbezi Luois papumue

    Sipati picha hapo kwa road
  14. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    Mwinjilisti umepuyanga hapa sio mahali pake
  15. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    Bado tunaludi palepale lile ni lidubwana kubwa la kuogofya sana Merekan mwenyewe kakanusha
Back
Top Bottom