Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

NADHANI SISI WOTE HUMU TUSIJIDAI TUNAIJUA NATO KULIKO RUSSIA INAVYOIJUA NA PIA TUSIJIDAI KUIJUA RUSSIA KUILIKO NATO WANAVYOIJUA.

Pia mjue tu kua ikitokea vita baina ya NATO Vs Russia kati ya changamoto mojawapo itakayotokea ni Dunia hii kurudi maisha yale ya miaka ya 1945 kurudi nyuma MAANA MIFUMO YOTE YA MAWASILIANO(Satellite) inaweza kuharibiwa . Ndio maana mara nyingi Marekani amekuwa akiituhumu Russia kuhusu mipango yake ya kuzihujumu Satellite zake.

1. Tutarudi enzi za kuandikiana barua
2. Tutarudi enzi za kuizunguka radio kupata taarifa
3. No TV live coverage
4. Ujuaji wa humu Jf hautakuwepo badala yake tutauhamishia kwenye vijiwe vya kahawa na shoe shiners.

Ninachoamini mimi ni kwamba Marekani na washirika wake wakiungana wanaweza kuipiga Russia na kuiangusha LAKINI WANAJUA CHANGAMOTO AMBAZO NCHI ZAO PAMOJA NA DUNIA ZITAPITIA TENA KWA MUDA MREFU SANA.

Pia tujiulize ni kwanini Russia badala ya kusimamisha vita yeye kila siku anasonga mbele na kuchukua ardhi ya Ukraine. HII JEURI NA KIBURI ANAKITOA WAPI???
 
Uwoga wa NATO ndo silaha kubwa anayoitumia Urusi l mean kuwatisha nao wanatishika,mrusi huku anaendelea kujiimarisha mwisho wa siku atakuwa anatafuta mbinu anadaka mmoja mmoja ndo utakuwa mwisho wao.
We angalia kikundi cha watu 30 wamejikusanya dhidi mbabe mmoja tu
 
We angalia kikundi cha watu 30 wamejikusanya dhidi mbabe mmoja tu
😂😂😂😂
Umenikumbusha miaka kadhaa kuna
Jamaa alikuwa mtemi sana mtaani sasa kila wakiungana wamshikishe,adabu jamaa anakimbia anarudi kwa kujificha anakuwa anafinya mmoja mmoja hawa wengine wakishasikia wenzao wamefinywa wote wanamgwaya
 
Hasira wapi? Kwa akili zako unafikiri Russia na uchumi wake anaweza pigana na G7 Giant
Siyo tu G7 hata zikiwa G8 hazina ubavu wa kupigana na Russia hivi kwani Ukraine kuchakaa vile unadhani hao NATO wanafurahi? Kila wakati Zelensky alipoomba long range missiles hakuna nchi ilokubali kuzitoa kuanzia jogoo USA Hadi mtembe UK na hata ujeruman chini cancellor aliyepo sasa hivi amekataa kwanini sababu wanaogopa direct confrontation na RUSSIA
 
Back
Top Bottom