Recent content by Chisomeko the Legend

  1. Chisomeko the Legend

    Naomba support kwenye mradi wangu

    Mawazo mazuri, project hii inaweza kupata ufadhili mkubwa tu kutoka nje! Je Mradi huu unaufanya kama mtu binafsi, taasisi, au kikundi? Malengo ya muda mfupi na mrefu ya hii project ni nini? Nicheki inbox nitakushauri zaidi!
  2. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Jumla ya watu wapatao 7 pamoja na youCatherine Mbigili wamejitokeza niwaunganishe na hiyo fursa! Ili na mimi inisaidie kuokoa muda wa kumwelekeza kila mmoja kivyake, nikaona tuwe na what’s app group la hao tu na ili niwapatie maelekezo na link kwa urahisi na nisilazimike kumjibu na kutoa...
  3. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Na wengi ndo wamekwamia hapo!
  4. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Safi[emoji12][emoji1434][emoji1434], ingawa kwenye muda wako wa ziada bado unaweza kuendelea kuongeza maarifa na kuongeza “related skills” zinazoweza kuikuza na kuiuza vizuri taaluma yako ya IT! Kama nilivyosema, soko la ajira linataka multi-skilled people!
  5. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Elimu na kupata maarifa hakuna mwisho! Actually labor market ya sasa inataka watu ambao ni multi-skilled!!! Usibaki na IT tu, kuna skills kadhaa zinazoweza kutengeneza combination nzuri na profession yako ya IT! Hujachelewa! Upande wa IT unafanya nini kwa sasa?
  6. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Siyo lazima! Ingawa mtu mwenye background ya Journalism au Mass Communication anaweza kuifanya vizuri zaidi! Ukiweza na complete and excellent command of English language unaipiga tu vizuri! Pia kama field yako inahusiana na mambo ya jamii nafikiri nayo inaweza kuwa added advantage!
  7. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Sawa, kulikuwa na fursa ya kuandika hizo articles za kiingereza ingeweza kukufaa maana ungefanya remotely huko huko uliko!
  8. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Umewahi au unaweza kuandika “Articles” za kiingereza (100-300 words)?
  9. Chisomeko the Legend

    Natafuta kazi

    Mwandishi wa habari katika level ipi ya kusoma (degree, diploma, certificate?), ukishajibu nitakuwa na cha kukushauri!
  10. Chisomeko the Legend

    Kigogo wa Benki ya NMB Arusha, mbaroni kwa kulawiti mwanafunzi na kumweka kinyumba, alikuwa akilipa fadhila ya kumsomesha

    Huyo jamaa mtuhumiwa nilisoma naye chuo darasa moja mwanzo mwisho! Yaani ni wale ambao hata tu kuwa na kashfa ya “demu” hana! Ni mtu very polite and decent, pia tulikuwa naye “fellowship ya wapendwa”. Simaanishi ni innocent ila yote yanawezekana! Nimeshtuka sana kusikia habari zake hizi!
  11. Chisomeko the Legend

    Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

    Mabange kama Mabange[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Chisomeko the Legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapana, asili yetu ni kutokea Udzungwa na mababu wakaanza ku move kuelekea kaskazini ambapo walipita maeneo ya Ruaha, Wota (Mpwapwa) hadi Dodoma! So mimi ni wa Dodoma!
  13. Chisomeko the Legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yaani acha tu, na eti walienda Bukoba wakaongea yakaisha wakageuza Dar! Wiki ya pili sasa mambo yameshindikana tena! Pisi sasa nawasiliana nayo kwa ukaribu zaidi kuelekea kwenye uchakataji[emoji12][emoji1787][emoji2363]
  14. Chisomeko the Legend

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni kweli, ngoja na mimi nishushe kwa mara ya kwanza masihara yangu ya “mke wa mtu” ambayo haikukamilika lakini ili labda itoe funzo kwa wazee wa masihara yanayohusu wake za watu! Wiki tatu zilizopita nilipanda Happy Nation ya kwenda Bukoba kutoka Dar, huku mimi nikiwa nashukia Dodoma. Siti...
Back
Top Bottom