Jumla ya watu wapatao 7 pamoja na you[mention]Catherine Mbigili [/mention] wamejitokeza niwaunganishe na hiyo fursa! Ili na mimi inisaidie kuokoa muda wa kumwelekeza kila mmoja kivyake, nikaona tuwe na what’s app group la hao tu na ili niwapatie maelekezo na link kwa urahisi na nisilazimike kumjibu na kutoa maelezo kwa kila mmoja! Sasa mmoja wao nilimwomba atengeneze hilo group na akakubali! Nilimpa namba zetu wote mlioitikia na mkakubali kuwa kwenye hilo group, lakini hadi leo ni siku ya 3 kimya!!! Na mimi nipo busy sana na kazi zangu za kawaida!