Recent content by chiseked

  1. chiseked

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Umetumwa wewe Mzumbe ipi? mbeya, Dar es salaam au morogoro. Kama ilitokea watu wazembe kila chuo wapo kumbuka wakufunzi nao ni binadamu wanaweza ku induce demand zao.
  2. chiseked

    Bei ya Ng'ombe wa Maziwa

    Nitafute kwenye namba 0756416149
  3. chiseked

    Bei ya Ng'ombe wa Maziwa

    Wilaya ya Rungwe na Busokelo zinazalisha maziwa kwa wingi sana na ng'ombe wazuri wa maziwa wanapatikana kwa bei nafuu. Mitamba na Ndama breed nzuri kutoka kitulo wanapatikana Mimi na organize wahitaji na kuwapeleka kwa wafugaji moja kwa moja ili kuwaepusha na madalali ambao wanafanya bei kuwa...
  4. chiseked

    Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

    Maamuzi hayo ni prospective sio retrospective kwa maana ya kwamba yanafanya kazi kwanzia sasa kusonga mbele, waliolipa hiyo kipind cha nyuma ndo basi tena
  5. chiseked

    Maelezo ya Waziri Faustine Ndugulile kuhusu WhatsApp calls yanaturudisha nyuma

    Kiongozi unapoteuliwa au kuchaguliwa tambua una wajibu wa kuwarahisishia maisha wananchi wako kama ww unakuwa chanzo cha ugumu wa maisha basi jitathmini kama unafaa kwa wathifa huo, tumezuiwa ku like na kucoment kwenye taarifa mbali mbali hata tukiziona mtandaoni hii haijapata kutokea mahara...
  6. chiseked

    Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Sio mpuuzi amefanya tujue bila ivo tusingejua kama nae alipatwa na tatizo maana upo ukuta unatutenganisha na mwenendo na taarifa za ugonjwa kwasasa
  7. chiseked

    Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

    Iyo private hospital inahudumia watanzania pia, ndio maana serikali inaingia nao ubia kwenye kutoa huduma za msingi bila kuwatoza pesa wananchi, kama huduma za mama na mtoto chini ya miaka mitano
  8. chiseked

    Elimu ya Chuo Kikuu Mzumbe na IFM zimejaa Siasa, Wahitimu wa hivyo vyuo wengi ni Vilaza

    Kama ww pia ulisoma apo unatuaminishaje kwamba ww ulipata kwa Uwezo wako, nilichogundua we bwana mpotoshaji mkubwa wakufunzi uliowataja ni makini saana saana kwenye maswala ya kitaaruma bila shaka ulishindwa kugraduate kwa Uwezo wako unatafuta visababu. Ww nisawa na mwanafunzi alieferi shule ya...
  9. chiseked

    Elimu ya Chuo Kikuu Mzumbe na IFM zimejaa Siasa, Wahitimu wa hivyo vyuo wengi ni Vilaza

    Umesoma chuo gani ww mbona unamawazo mgando sana au unakaza ubongo tu, mzumbe university chuo bora angalia kwenye rank za kila mwaka. Chuo kina wakufunzi wenye sifa na vigezo sio kweli kwamba wanatumia outsource Lecturers. Mzumbe is the center of excellence in management and business education...
  10. chiseked

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Umesahau official response ya kabudi mara baada ya azimio la bunge la ulaya, we have been granted right to be heard but we never know how to use it Ndio maana walihoji matumizi ya euro 27m for Corona prohibition punde baada ya kuzipokea tukaitangazia dunia kwamba the country has Corona free...
  11. chiseked

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Tulipewa nafasi ya kusikilizwa tukaitumia vibaya kwa kujinasibu na kujigamba kwamba sisi nchi kubwa tunaweza kujitegemea
  12. chiseked

    Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

    Tanzania ya 1965 tofauti kabisa na hii ya sasa prof. Alitosha kuwa muhadhiri tu diplomasia haiwez wafadhiri wetu wataona hiyo ni official response ya nchi mpaka itapelekea kuchukua hatua zaidi ya apo bado Tanzania nchi ndogo saana zaidi ya asilimia 50 ya budget yetu tunawategemea wao. Alipaswa...
  13. chiseked

    Napeleka ombi Mahakama Kuu itoe amri (Mandamus) ili viongozi wa CHADEMA waliotafuna mali za umma wakamatwe na kufikishwa mahakani

    Mandamus, this is the remedy provided by the high Court to compile the public authority to perform public duties Condition for mandamus(compiling order) The applicant must have sufficient interest The applicant must request performance and authority refuse to perform The function must be...
  14. chiseked

    GE2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

    Ujumbe wako unakuvua nguo ndugu yangu demokrasia gani maamuzi yanapitishwa kwa wabunge wote kugonga meza hakuna mawazo mbadala, wabunge wote wamepewa dhamana na chama tawala unataka wamkosoe mwenyekiti wao wa chama kumbuka maswala ya escrow, epa Richmond namna wapinzani walivopigania mali hizi...
Back
Top Bottom