Recent content by chipasulah

  1. chipasulah

    Hivi hapa Dar es salaam kuna bajaji zinazotumia compressed natural gas,?

    samahani wadau naomba kujua kama hapa Dar es salaam kuna bajaji zinazotumia compressed natural gas..?
  2. chipasulah

    MAONI:Mtizamo wangu juu ya Video mpya ya Ali Kiba Cheketua

    Mbaya kama wewe ulivyo vile...
  3. chipasulah

    Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

    Hivi mechi hii itaonyeshwa vituo gani vya TV??
  4. chipasulah

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    We jamaa unaongea upuuzi mtupu...mbona uko very narrow minded,of all the topics you can think of raising..umechagua hii nakuonea huruma Sana.uko mjinga sana
  5. chipasulah

    Misingi kumi ya ACT- Wazalendo kuongoza nchi 2015

    Nmeipenda Sana ACT....
  6. chipasulah

    Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    This country bwana.....
  7. chipasulah

    United African University of Tanzania

    college of business ni 2,500000,college of engineering and technology ni 2,900000...,accomodation total 415,000
  8. chipasulah

    United African University of Tanzania

    Ni chuo poa saana,ingia kwenye website yao ujionee..,wako internationally sanaa,shida ni hiyo tuition fees yao tu!!!
  9. chipasulah

    Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Wewe kama hujui mambo,you better stay quiet..., hostel zilizopo Wdmi ni kwa ajili ya watu wa OD tu,watu wa bachelor wanatakiwa kutafuta malazi nje ya chuo!!!
  10. chipasulah

    BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

    Kwahyo ulitaka wasiwe admitted hata kama wana vigezo..,Fanya yako kijana...,
Back
Top Bottom