Recent content by Chinua Achebe

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Ripoti iliyowang'oa mawaziri (Ripoti ya Lembeli)

    Mimi naona wakati umefika sasa wa kuipumzisha Ccm ifikapo 2015
  2. C

    JamiiForums Tanzania ..Mawaziri saba watoswa.....

  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kugawa pesa Misikitini na Makanisani ni utu wema au?

    Haiwezekani ugawe pesa kwenye nyumba za ibada wakati wapiga kura wako wanataabu lukuki..
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa injini za magari naomba mnieleze hili jambo

    Hilo bonge la gari bro hasa kipindi hiki cha shida ya maji unafaidije.....
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Huo ni muendelezo wa Unafiki tu.! Kwa hiyo hizo passport zao zimeandikwa namba za magari yao? Iweje wengine watajwe kwa uhusiano na flani wengine plate number? Kwa unafiki huu hii vita dhidi ya madawa ya kulevya haitofanikiwa. R.I.P Amina Chifupa.....
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ya Mtwara yapelekea Bunge kuahirishwa hadi kesho; bajeti ya Nishati na Madini yaahirishwa!

    Mkuu vp kuhusu mbunge wa Mtwara hajakamatwa kwa uchochezi? Au kwa vile ni mbunge wa chama twawala? Sipati picha angekuwa ni mbunge wa Chadema hapo..! Difenda zote zingehamia nyumbani kwake kama wanaenda kukamata jambazi vile...!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    Ni kweli kabisa sasa hivi wanaplani kitu cha kufunika hii issue, kwa wenye akili tumegundua lile tukio la kulipua kanisa ni mpango wao ili kuzima issue ya JANGILI KINANA dhidi ya MENO YA TEMBO, hata kipindi kile cha kashfa ya ufisadi wa EPA,MEREMETA,DEEP GREEN, na vyote vilivyomweka ------...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Manzese Secondary wanaanguka chini na kuzimia

    Na kweli.. Maana hii nchi kila kitu siasa tu!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Chinua Achebe

    Mambo vp jameni?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Chinua Achebe

    Mambo vp jameni?
Back
Top Bottom