Recent content by Chinu Mkodoli

  1. Chinu Mkodoli

    Ni jambo gani baya lilitokea ofisini/kazini kwako ambalo ulidhani hautasalimika lakini Mungu akakakusaidia hukufukuzwa kazi au hukupewa adhabu yoyote?

    Viongozi habari za muda huu Katika maisha ya kufanya kazi Kuna mistakes za hapa na pale ambazo unaweza kuzifanya wewe mwenyewe au mtu mwengine ambapo msala unaweza kuwaangukia watu wote ofisi fulani. Kuna kusababisha hasara, kuchafua image ya taasisi au shirika la umma au shirika binafsi, Kuna...
  2. Chinu Mkodoli

    Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Huku Lindi tangu jana kuna mvua ndogo ndogo, mawingu yametanda kote (jua halionekani kabisa) na upepo kiasi
  3. Chinu Mkodoli

    2024 Upcoming movies

    Furiosa: A mad max saga
  4. Chinu Mkodoli

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Matumizi ya vyoo kwa wanafunzi ni changamoto pia, yaani unakuta mtu na akili sake anatupa takataka kwenye sink la Choo, unategemea nini?
  5. Chinu Mkodoli

    KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Kabisa ndugu, yaani tunateseka Sana, hamna namna tu ya kufanya, ila kukosa hata maji ni kero kubwa sana. Tuwaombe viongozi wetu waliangalie hili kwa jicho la huruma
  6. Chinu Mkodoli

    KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Dah hatari sana, nilijua mtaani kwetu Tu, kumbe kote. Hivi viongozi hawalioni hili? wamechukua hatua gani kulisolve?
Back
Top Bottom