Recent content by chingangalucad

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

    Nilikuona wa maana,kumbe una andika personalities za watu,shame on you
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Jamaa alikuwa makali sana katika makala zake RIP Thadei
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Hivi unajua mshahara ni haki ya mfanyakazi na ipo kwenye katiba pamoja na nyongeza?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

    Tusitumie kivuli cha dini ktk mambo ya michezo,nimefuatilia sana sijasikia pahala ambapo Murro alitukana dini ya kiislamu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Azam TV ni shida, wajirekebishe

    Nipo njiani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Azam TV ni shida, wajirekebishe

    Mwanzo ukilipia gharama za bundle ulitakalo na ukitaka kubadilisha kifurushi kwa kutuma sms *150*50*5 unakaa muda mfupi tu wanabadilisha bila kupiga simu, now days imekuwa kero, unawapigia simu hawapokei mapema mpaka inakata, unarudia tena inafikia hadi dakika nne ndo wanapokea, cha kujiuliza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds wengi wao hawana taaluma kabisa

    Sifa ya mtangazaji mwenye weledi na taaluma yake ni ku balance habari,clouds uwezo wao umebakia kwenye festivals,hawana tofauti na eFM Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla asema amemaliza mgogoro na Katibu Mkuu wa Wizara yake

    Dr Hamisi Kigwangwala si mtu mstaarabu,nakumbuka Akiwa Wizara ya afya ambako ndio maeneo aliyo somea,badala ya kutoa maelekezo kwa watumishi yeye alikuwa harsh sana,na kutowathamini Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umedanganywa mengi kuhusu Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje, Undugu na Waziri Mkuu unampa jeuri na huambiwi ukweli na wasaidizi wako

    Tupime kidogo tu,maelezo ya mtoa post,shutuma dhidi ya ded zimetolewa jana,sasa hayo majivuno ya kutamba kayatoa saa ngapi? Vema kumkumbuka hata mungu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Januari Makamba anawatesa

    Madhara ya mifuko ya plastic ni makubwa sana,tena marufuku hii imechelewa,tafiti zinaonyesha mifuko hiyo kuchangia uwezekano mkubwa wa saratani kuliko hata uchafuzi wa mazingira,Hongera January,unatuepusha na SARATANI
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

    MTUMISHI NA UTUMISHI WA UMMA
  12. C

    JamiiForums Tanzania J. Makamba aweka pozi akingoja picha ipigwe huku akimpatia chakula mwananchi mwenye njaa.

    Umuhim upo he is a politician! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mwalimu alimcharaza viboko 12 Mwanafunzi hadi kumpasua kiganja

    Alipata idhini ya mwl mkuu/mkuu was shule?au mbaaazi zimemchosha? Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kubana matumizi: DC Arumeru bwana Mnyeti azuia wakurugenzi kuwalipa madiwani elfu 40 za nauli

    Mamlaka ya serikali za Mitaa!!!!!
Back
Top Bottom