R.I.P kamanda wa ukwel wapigania haki siku zote tutaungana na jamii ya watu wa venezuela kuomboleza amewafanyia meng san watu wake na kuna vitu vya kujifunza kutoka kwake ususan kwa watawala we2
Safu nzuri wazo lipelekwe kamati kuu na kamanda lema asaidie kote yani kwenye chopa na milya pia aende mikoa pwan kuna jamii ya wafugaji kutafutwa na watu wote na mhe safari awe kweny chopa na kila sehmu iendeshwe harambee il ipewe sapoti bila ya kusahau uenez wa vifaa vya chama kama bendera...
wasiofu makamanda 2po pamoja ktka kupigania haki na usawa ktk ugawaj wa rasirimali za taifa letu ususan lind na mtwara najuwa watatishwa ila waciofu mungu upo nac wana kusin miaka hamsin 2kiwa 2metelekezwa na bado wanataka kutunyonya tu !!! 2meshituka
ni kwel ndugu mchange alikua anaic ni maarufu kuliko chama ndio mana imempelekea halafu baadh ya vijana wa cdm weng awana kaz na wanatamaa na maisha mazuri kwa haraka mim nikiwa kama mkaz wa kibaha ni heri kulikosa jimbo kuliko kuwa na wa2 awa ambao wanataka kuaribu 2main la watanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.