Picha: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA chalinze

Picha: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA chalinze

Mimi naunga mkono Chadema ili ccm wajifunze! Baba yuko bado madarakani badala ampe hata jirani yake agombee anampatia mtoto hapana si haki.peoplezzzzzzz!!! Poweeeer!!!!!!
 
Huku Chadema wasije na chopa yao kwani huku tutatumia zile zetu za kienyeji yaani nyungo. Tena huku kuna ufundi unaitwaq tego, na mafundi wake wapo wengi. Tutairoga Chadema kimaukweli! Hawatafurukuta!
 
Utawala wa ccm ni sawa na makaburu wa S. Africa kipindi apartheid regime, yaani R1 ni mtt wa makaburu wanaojifanya wazungu kurithishana madaraka. Freedom is coming through CDM.
 
Huku Chadema wasije na chopa yao kwani huku tutatumia zile zetu za kienyeji yaani nyungo. Tena huku kuna ufundi unaitwaq tego, na mafundi wake wapo wengi. Tutairoga Chadema kimaukweli! Hawatafurukuta!

Unajisifia kuwa masikini kwa kukosa akili? Lweli wewe ni ------, kazi kucheza ngoma tu
 
Bahati mbaya sana chadema wanafanya kampeni za kidigitali kwa wapiga kura kianalogia. Itachukua ages and ages watanzania wa vijijini kujitambua kuwa ccm wanawatumia kama kondomu
 
Dah tuckate tamaaa bado tunasafari ndeefu Sana kuikomboa hii nchi ,ccm wameshinda kalenga,ila tutafika tu ,chadema pipooooz power
 
Back
Top Bottom